Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.
Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.
..Unadhani kuhofia mpasuko wa CCM kama wangeshindwa uchaguzi wa Igunga ni issue? Huenda basi hata hizo 3bn walizitumia kwa hira ili kulazimisha ushindi. Kiukweli mimi kwa maoni yangu hakuna mwana-magamba ambaye anaweza kusimama aka-justify matumizi ya hizo pesa ukizingatia hali halisi ya Tanzania kwa sasa. Lakini kwa kuwa magamba siku zote wako tayari hata kama roho za watu zipotee ili wao washinde hizi chaguzi basi na iwe hivyo. Lakini ole wao litakapowageukia hili vumbi kamwe hawataona tena mwanga machoni mwao!! Siwapendi kabisa Magamba!!Ukweli ni kwamba ilikuwa ni muhimu kwa CCM kutangazwa washindi katika uchaguzi huu. Dhana ya magamba ingewagawa tena zaidi kama wangeshindwa kushinda katika uchaguzi huu. Sio tu kwamba ingewagawa lakini hata vurugu zingenukia na tungesikia mengi zaidi ya tuliyoyasikia na ambayo tutayasikia hapo mbeleni.
Ilikuwa in kinyang'anyiro cha kufa na kupona lakini jimbo lazima libakie CCM. Bila kutumia fedha walizotumia kugharamia hizo kampeni ingekuwa ni vigumu wao kushinda kirahisi, has ukiangalia kuwa katika Jimbo ambalo upinzani ni kama vile haukuwepo October 2010, Chadema na CCM kuchuana vikali vile. Hakika margin ya ushindi siyo kubwa na inawezekana watu wote 171000 wangejitokeza labda matokeo yangeweza kuwa mabaya zaidi. Vijana wengi hawakupiga kura hasa vijijini. Hata hivyo ushindi ni ushindi uwe mwembamba au mnono ni ushindi ili mradi umetangazwa mshindi. Hongera CCM kwa kulihifadhi Jimbo. Tunaamini kuwa Dr. Kafumu atakuwa liberal na kuyashughulikia maendeleo ya wana igunga wote badala ya kuanza siasa chafu ambazo siyo tunayohitaji wananchi wa Igunga.
Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.
Tatizo hujui garama za uchaguzi..nina maashaka na uelewa wako kiakili, umeishia kidato gani mkuu? kama umepita chuo basi ulikuw amdesaji mkubwa na ukaambulia makarai
hatutakaa tuendelee hata mataifa ya nche wanashangaa sana, zingetumika milioni 200 zingetosha hizo nyingine zikakarabati barabara za igunga,kujenga hops,mshule, kuwapa wanafunzi vitabu na madawati. ushabiki wa kijinga huu.wamenufaikaje na hizo hela??? magamba hawana akili
Wakati mwingine hata kukujibu haisaidii! ukishakuwa poyoyo ni poyoyo tu!!Ukiona hivyo ujue wananchi wa Igunga wamenufaika..
Kuingiza hizo bilioni tatu kwenye circulation ni neema kubwa sana kwa wana Igunga.
Big says thank you very much for this useful post.Kama ni kweli kuwa CCM ilitumia 3biln, CHADEMA 400Mln na CUF 150Mln...
CCM wamepata kura 26,484, CHADEMA kura 23,286, CUF kura 2,104....
Using the Mathematics concept, which most run away!
CCM-3,000,000,000/26,484=113,275/=
CDM-400,000,000/23,286=17177/=
CUF-150,000,000/2,104=71,292/=
In summary!! Hehehhehee
CCM imegharamikia kura moja kwa tsh 113,275/=
CDM imegharamikia kura moja kwa tsh 17,177/=
CUF imegharamikia kura moja kwa tsh 71,292/=
Kila mmoja anajionea, Mathematics never lie!!