Kijana Richard Kasesela keshaanza kazi ya kuisambaratisha CHADEMA Rungwe Magharibi. Kwa hiyo kama ilikuwepo ndoto ya CHADEMA kuchukua jimbo ya Rungwe Magharibi isahaulike.
View attachment 155830
Juu: Mpiganaji kijana Richard Kasesela wa UVCCM Rungwe
View attachment 155831
Mwenyekiti wa CCM Taifa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi majukuku Kasesela
View attachment 155832
Kazi ndo hiyo, ishaanza: Kasesela afungua tawi la CCM Ntokela, Rungwe Magharibi.
Rungwe Magharibi hapatoshi mwakani...
CHADEMA sahau jimbo la Rungwe Magharibi....
View attachment 155833
Kasesela ni hatari! Nyati hafui dafu--hata kasesela akiwa na shot gun tu....