figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Vipi kati ya walioomba alikuwemo msamalia na kura zilitoshaWagalatia mwaka wenu huu mshindwe wenyewe
Mi nawajua Wagalatia. "Wasamalia" siwajuiVipi kati ya walioomba alikuwemo msamalia na kura zilitosha
Mmmmmm usilolijua ni kama usiku wa gizaHakuna Demokrasia CCM tena
Msamaria si Yule aliyedakishwa rushwa?Vipi kati ya walioomba alikuwemo msamalia na kura zilitosha
Huko songe akina nchimbi ni ukoo mkubwa sana, sio nchimbi wote ni ndugu,Yani nchimbi aliomba kugombea wakati ni balozi Brazil?
kumbe ubunge mtamu...!
Kwenye demokrasia no wapiHakuna Demokrasia CCM tena
Inakuaje Nchimbi ashinde halafu kamati kuu inakataa. Ni bora CCM iteuwe wagombea moja kwa mojaMmmmmm usilolijua ni kama usiku wa giza
Hawa wanyasa kina Nchimbi wakagombee Mbambabay!Kamati Kuu ya CCM imeteua wagombea ubunge katika majimbo matatu kama ifuatavyo; Monko Joseph (Singida Kaskazini), Damas Ndumbaro (Songea Mjini) na Stephen Kiruswa (Longido).
View attachment 651911
My Take;
Rais alisema sasa ni muda wa kazi tu. Nchimbi, Kimbisa na Sophia Simba mlisema mumewasamehe.
Kama tunavyojua Nchimbi ndo alishinda Kura za Maoni. Kwanini mumekata jina lake. CCM acheni kulipiza visasi.
Uchaguzi ushaisha na sote tunajenga nchi moja.
Hili swala limenisikitisha sababu si la kozalendo. CCM ubaguzi wenu hautawaacha salama.
Pale Dodoma Mlitangaza kwamba mumewasamehe wote waliomuunga mkono Lowassa, na Nchimbi alitubu hadi akakaribishwa Ikulu.
Kama ndivyo Nape Nnauye, Hussein Bashe wajiandae Kisaikolojoa 2020. Hawatapita sababu ya kuongea ukweli na kwenda kinyume na CCM.
Bashe alilalamika bungeni kwamba watu wasiojulikana wanamfuatilia.
Nakumbuka Bashe na Msukuma waliwekwa Korokoroni kisa wanahoji pale CCM inapokosea.
Hii mbaya sana kuongoza kwa visasi.
Unawaaibisha ndugu zako mandaHuyo naye ana tamaa sana za madaraka kama lowasa
Aende kwa lowasa Chadema mamuluki hatuwataki CCM aende Chadema haraka iwezekanavyo okInakuaje Nchimbi ashinde halafu kamati kuu inakataa. Ni bora CCM iteuwe wagombea moja kwa moja
Demokrasia haitoi nafasi kwa mapandikizi .Hela alyohonga imeliwa na akawadai aliowapaInakuaje Nchimbi ashinde halafu kamati kuu inakataa. Ni bora CCM iteuwe wagombea moja kwa moja