CCM yatangaza kikosi chake uchaguzi mdogo,kwa haya majembe Chadema mko sawa kususia uchaguzi,

Egnecious

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
875
960
TAARIFA MUHIMU NA HARAKA
UTEUZI WA WANACHAMA WA CCM WATAKAOGOMBEA MAJIMBO YA SINGIDA KASKAZINI,SONGEA MJINI NA LONGIDO
026f3bcb1027c0cd3c625772b19630a1.jpg
 
Kwa haya majembe Mbowe nimemuona genius kususia uchaguzi maana kulikuwa hamna namna ya kuchomoka hapa.
IMG_20171215_200111_940.jpg
 
mnajitekenya wenyewe mnahaha cjui hata wanainchi watahudhuria mikutano yenu tuone polisi watampiga nani na matokeo atatangaziwa nani mmepanic sawa jishindeni wenyewe pamoja na tume ya kwenu cjui mtakuwa mnashindanan na nani?
 
Yetu macho, ila ukawa watafanya makosa kama kweli hawatashiriki uchaguzi huu... Watafute njia mbadala ya kushinikiza marekebisho ya mfumo mzima wa uchaguzi, waitishe hata maandamano na kupeleka hoja/muswada binafsi bungeni, ila sio kususia uchaguzi... itawacost!
Kuna uchaguzi gani hapo wakati kuna mtu alishatoa onyo kuwa hatuwezi kukulipa mshahara,tukakupa na usafirii alafu umtangaze mpinzani mshindi?
 
Yetu macho, ila ukawa watafanya makosa kama kweli hawatashiriki uchaguzi huu... Watafute njia mbadala ya kushinikiza marekebisho ya mfumo mzima wa uchaguzi, waitishe hata maandamano na kupeleka hoja/muswada binafsi bungeni, ila sio kususia uchaguzi... itawacost!

Wameingiza kichwa kwny machine ya kuchinjia Ng'ombe
 
Yetu macho, ila ukawa watafanya makosa kama kweli hawatashiriki uchaguzi huu... Watafute njia mbadala ya kushinikiza marekebisho ya mfumo mzima wa uchaguzi, waitishe hata maandamano na kupeleka hoja/muswada binafsi bungeni, ila sio kususia uchaguzi... itawacost!
Una point ya msingi sana lakini katika muda uliosalia si rahisi kwa marekebisho yatakayohakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki. CCM wao watatangaza tu mtu wao hata hesabu zikiwa kinyume. Kwa hiyo hakuna maana wacha wajitekenye na kucheka wenyewe tutakutana 2020.
 
Back
Top Bottom