Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
CCM inashindana yenyewe lakini haiamini kama itashinda, chama cha ajabu sana.Jamani hebu tuacheni unafiki Watanzania wenzangu. Kwani kuna Uchaguzi hapa au watu wameandaa makaratasi yatakayoonyesha ushindi wa Kishindo wakati wapigakura wenyewe watakuwa wachache vituoni baada ya kuona wanasiasa wanachezea kodi za Watanzania?
Jinga lao ƙatiƙa ubora wako mƙuuSubiri ushindi ndio utawajua washindani
Shindeni na muwashindilie...ushindi dhidi ya hewa??
Kodi gani inachezewa? Hii ndo gharama ya Demokrasia. Longido mbunge wake alitenguliwa na mahakama. Singida kaskazini mbunge wake alijivua uanachama wa CCM akaenda CDM na Songea mjini mbunge wake alifariki dunia. Sasa ulitaka hayo majimbo yawe wazi bila uwakilishi? Jambo la msingi hapa ni kuwalaumu wale waliosusia uchaguzi kwamba wamewaokosesha wananchi haki ya kuchagua mtu wanaemtaka.Jamani hebu tuacheni unafiki Watanzania wenzangu. Kwani kuna Uchaguzi hapa au watu wameandaa makaratasi yatakayoonyesha ushindi wa Kishindo wakati wapigakura wenyewe watakuwa wachache vituoni baada ya kuona wanasiasa wanachezea kodi za Watanzania?
Uchaguzi huu ni kama yule Wa pale Dodoma majuzi, ambao Nape na Kachero walihoji kura zao za hapana zimeenda wapi?Ndiyo maana hata redio na tv hazitangazi kampeni safari hii.
Kabisa, hakuna maana yoyote.Uchaguzi huu ni kama yule Wa pale Dodoma majuzi, ambao Nape na Kachero walihoji kura zao za hapana zimeenda wapi?
wanashindana na nani??
Tuanzie hapo kwanza.
Waulize swali hili CCM Zanzibar.Hivi unaposhindana na hewa halafu unatamba kushinda utakuwa mzima akilini kweli?