CCM yashinda ushindi wa kishindo chalinze

albuluushiy

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
1,404
Reaction score
687
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!
 
We ni mjinga, mama yako asikitike kuzaa mkazi wa Mirembe
 
Ni wendawazimu tu watakao shangilia ushindi wa ccm tena mkoa wa Pwani. Sasa uchaguzi umeisha nenda katembelee vijijini hasa wilaya ya Bagamoyo ambako chalinze iliko ujionee hali ya maisha ya watu. Unashangilia kushinda wameshinda nini?

Ngoja sasa tuone hizo ahadi zilizomwagwa na hasa ununuzi wa matrekta kila kijiji. AMA KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO
 
Unacheua ubwabwa wa jana. Mnauza utu kwa ubwabwa, t shirt, kofia na kanga. Kesho uliyemchagua yuko kwenye gari tinted hataki kuonekana. Iko siku mtajutia umbumbumbu wenu.
 
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!

Hamjashinda ila mmeponea kupokonywa mali yenu na mkafanye ibada mnabahati mzigo ulikuwa tuuchukue huo shwaiin zenu!
 
Yale makampuni ya dogo sasa yatawasaidia wana chalinze, Ila sasa muziki wa zile dawa za maangamizi zitapita bila shida. Du ngoja tuangalie mambo yatakavyokwenda baada ya ushindi wa Kimbunga. Miaka zaidi ya 50 ccm wamekuwa wanashinda kwa kishindo, kuna nini cha kujivunia? Hivi umewahi kutembelea vijiji vya Jimbo la Chalinze?
 
haha ha ha ha ha ha nilijua hii majanga kuna ban inanuka hapa.
 
attachment.php
Poleni Chalinze ....
 
Ni wendawazimu tu watakao shangilia ushindi wa ccm tena mkoa wa Pwani. Sasa uchaguzi umeisha nenda katembelee vijijini hasa wilaya ya Bagamoyo ambako chalinze iliko ujionee hali ya maisha ya watu. Unashangilia kushinda wameshinda nini?

Ngoja sasa tuone hizo ahadi zilizomwagwa na hasa ununuzi wa matrekta kila kijiji. AMA KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO

Nyie ndio wajinga , nani achague chama ambacho hakina dola alafu malengo yake yarudi nyuma? Kwa sasa tuacheni na ccm yetu.
 
imekuwa ni furaha kubwa kwa wana ccm pande zote za tz kwa kuwabwaga chadema vibaya bila kuwaonea huruma even if walianza kutapatapa kwa kusema hawakutaka kushinda nia ilikua ni kukitangaza chama pwani shiiiiiiiiiiiit!!!!!!!!!
unafunga banda farasi kashatoka? ni kichapo tu mwaka huu mtamkumbuka zitto mwaka huu
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!

Oyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom