CCM yashinda Umeya Kigamboni

Hiyo siyo habali.. Habali ni boss wa Jamii forum aachiliwe huru
 
Nilikuwa sehemu tumekaa watu sita nikawa nazungumzia mazuri yaliyofanywa na Ccm kuna kijana kwa hasira kanivamia nakuanza kuning'ata ,nadhani alidhamilia kuniua sijui kosa langu...
Mungu ibariki Tanzania
 
Hongereni. Sisi tunachotaka ni maendeleo tu. Muibe kura, msiibe.
Tunataka haki na si ubabe ktk nchi hii. Hakuna mtu au kiongozi mwenye hati miliki ktk nchi hii.
Ila tunakoelekea kubaya sana.
Kuna viongoz wao wanajiona kama wana hati miliki ktk nchi na neno lao ni sheria. Najiuliza mpaka nachoka.
Yule mama aliyetumbuliwa kwa sabb ya kupotosha umma kwa kuwepo kwa virus vya zika.
Hata km siyo kweli kosa km hilo huwezi kumfukuza mtu kazi, na kama ndiyo
Vip kuhusu
1. Chawene kuwafukuza wamachinga, naye vip? Au kwa vile ana kadi ya ssm?
2. Haitazid mwezi 1 au miwili mpaka leo. Hakuna mwanafunzi mweny sifa hatakosa mikopo na leo?
3. Waziri wa uhakiki mpaka leo bado anahangaika tu , no increment, hakuna kupandishwa madaraja, na yy ni ssm hawez kutumbuliwa?
4. Kuna mkuu wa mkoa wa dsm, anawahoji viongozi wa serikai km watoto. Nchi hii ina laana sana.
UONGOZI UNAENDESHWA KWA HEKIMA NA BUSARA, SHERIA NA KATIBA SAFI NA SIYO UBABE
 
Mnamuwinda Max halafu bado mnaleta habari zenu [HASHTAG]#freemaxcencemello[/HASHTAG]
 
duuh yaan kuandika hvyo tu mtu keshachukua buku saba!!
 
Kwani mlikuwa mnashindana na nani wakati CCM mko 9 na UKAWA 5 , ingekuwa maajabu kama UKAWA wangeshinda ndio ingekuwa habari lakini CCM kushinda ilikuwa Obvious .....Acha ushamba .....
Ila utofauti huu ungekuwa ccm yaani ccm 5 Na ukawa 9 Wala isingekuwa tabu ccm kubidua mambo....na ungesikia Polisi,ffu Na kadhalika wangekuja kusaidia mambo Na ungesikia wameshinda
 
bro utachoka kuandika bureee hbr za matokeo coz unafikiri kwa UTENDAJI NA UFATILIAJI HUU ambao UNATOA MAJIBU SAHIHI TENA KWA WAKATI kwa maswali na masikitiko LUKUKI yaliyojaa mioyoni mwa watanzania kwa miaka 10,,nani ATATHUBUTU kuwapa nafasi chadema?kwa kipi cha maana ambacho hawamu hii hakipo?
 
Wizi wilaya nyingine bhnaa Ccm wanajitekenya wenyewe wanacheka wenyewe hyaa hongereni
 
ukawa ikishinda ndio kuna msisimko, lakini ccm ikishinda wala hamna anayehoji. simply ccm haina mvuto.
Huu uzi unabid ufutwe, wanamkata Melo halafu wanajidai kuleta viuz vyao humu.
Waende TBC
 
Heko ccm. cdm hawaaminiki tena hata chembe baada ya kutaka kutuwekea fisadi waheed kama rais.
 
Congratulations
 
Ndio maana kumekuwa kimya....
 

Hii forum mmedai haijasajiliwa Tanzania, Kwanini taarifa hii msiipeleke Uhuru?

[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…