CCM yashikwa pabaya uchaguzi wa chuo kikuu UDSM

Lakini bahati nzuri Katibu Mkuu wa CWT ni wa kwetu chama kubwa.Hao viongozi wa Daruso hawana athari.
 
Sijaelewa hapa..kwani hapo UDSM uchaguzi wa DARUSO unahusisha vyama vya siasa?? Huenda hii ni taarifa fake ...
Maccm hawatakawia kuikana kama ule waraka ulivyokanwa....
Ccm makitu ya ajabu sana, yanatia kinyaaa....
 
Chama changu naona tunarudi kwenye mstari wa ukweli, uwazi na haki. Ila tusisubiri hadi mambo ya-backfire
 
sisiem hawawezi kukubali hivi hivi...kuna kitu.. wanapenda madaraka utadhani walizaliwa nayo
 
Kwenye chaguzi za wasomi ni ngumu sana CCM kutoboa.
Huko hakuna kuhamisha masanduku ya kura.
 
hiyo barua mbona kama imeandikwa na mtu wa level ya Msukuma au Kibajaji??
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Umoja wake wa Vijana (UVCCM) kinapenda kuuhabarisha umma wa Wa-TANZANIA na Wadau wa Elimu ya Juu Nchini kuwa leo tarehe 09 JUNI 2018,kumefanyika kikao cha Dharura kuhusiana na Sintofahamu ya Ki-Uchaguzi inayoendelea katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM),ambapo Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kiliwakilishwa na Vijana wake Wawili ambao ni Komredi FRANK,ISAACK RIKOHE na Komredi MATULANYA, EVARIST.

Kutokana na Mpasuko ndani ya Tawi la Chama Chuoni Hapo na Uhafifu wa ki-Makubaliano. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishindwa Uchaguzi huo Uliofanyika Mnamo Tarehe 23 MEI 2018,ambapo Maelekezo kutoka Idara inayohusika na Siasa za Vyuo Vikuu chini ya Komredi DANIEL ZENDA yaliwaelekeza Wagombea wetu Wakate Rufaa UTAWALA wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM),

Hatua Hizi Ziligonga Mwamba na kupelekea mchakato wa Uchaguzi Kusimamishwa na Rufaa za Wagombea Wetu Kushushwa mpaka Kwenye Vyombo Vinavyohusika na Masuala ya Uchaguzi Chuoni Hapo(Relevant Electoral Organs) ikiwemo Bodi ya Rufaa za Uchaguzi(Appellate Board) lakini Rufaa za Wagombea Wetu Zimetupiliwa mbali na Juhudi za Kuutafuta ushindi Zimezidi Kufifia.

Hivyo Kutokana na Hali ya Ki-Siasa iliyopo Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam(UDSM) kwa Sasa.Kikao hiki cha Dharura Kinawaomba kwa Moyo Mkunjufu kabisa Wagombea Wake ambao ni Komredi FRANK, ISAACK RIKOHE na Komredi MATULANYA, EVARIST Kwa Akili zao Timamu na Bila Kushinikizwa na Mtu yeyote Wauandikie Barua Uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wakiuomba Uendeleze Mchakato wa Uchaguzi Chuoni katika hatua iliyobaki ya Kumuapisha Mshindi Ndg.NHONYA, HAROUN STANLEY na Wagombea wetu Warejee Kwenye Meza Ya Mazungumzo na Rais Mteule wa DARUSO Ndg. NHONYA, HAROUN STANLEY ili kuangalia Uwezekano wa Kupatiwa Nafasi Katika serikali Atakayounda kwa mwaka wa Masomo 2018/2019.

Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ni Chama Kinachoamini Katika Kanuni za Haki Ambapo Kwa Maelekezo ya Kikao Cha Dharura Kilichokaa Leo tarehe 09 JUNI 2018, chama Kimemuelekeza Katibu wake wa Itikadi na Uenezi Ndg.HUMPHREY POLEPOLE kuwasiliana Moja kwa Moja Na Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UVCCM-UDSM)

Ili kuangalia ni namna Gani itafaa kuuomba Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM) Uendeleze Mchakato wa Uchaguzi kwani Chama Kinaamini kuendelezwa kwa Mchakato huo Ni moja ya Hatua Nzuri ya Kuwatafutia Fursa ya Uongozi Vijana wake waliopeperusha Bendera ya Chama Chuoni ambao ni Komredi FRANK, ISAACK RIKOHE na Komredi MATULANYA, EVARIST katika Serikali ya DARUSO kwa mwaka 2018/2019 chini ya Rais Wake Ndg. NHONYA,HAROUN STANLEY.
uandishi mbovu sana,hawa vijana hakufundishwa viwakilishi huko mashuleni?
majina yana rudiwarudiwa zadi ya mara nne
 
Kwahiyo CCM mnakaidi agizo la mwenyekiti wenu la kutofanya siasa vyuoni!
 
Jingalao na genge lake wanatafuta namna ya kuvamia huu uzi
IMG_20180610_142416.jpg
 
Back
Top Bottom