Hizi propaganda mnazofikiria vijana wa BAVICHA hamfahamu kuwa CCM ilishatoka huko zamani sana.
CHADEMA ni chama cha walaghai.
endeleeni kujifariji kwa ulaghai sababu ulaghai katika CHADEMA ni jadi lakini kumbukeni ulaghai una mwisho wake
Katibu wenu Mkuu amefika hapo alipofika kwa njia ya ulaghai na kwa sasa anakosa hata mbinu zaidi za ulaghai.
Dr. Slaa has got deception mentality na hawezi kuacha kwa sababu hata ahadi aliyoweka na Pope John Paul II hakuitimiza.
Alianzia kwenye kanisa, akalilaghai kama atakuwa mtumishi wa Mungu katika maisha yake yoye wakati anafahamu hawezi.
Akamlaghai Rose Kamili kama watakuwa wawili katika shida na raha (ndoa) wakati anafahamu kuwa hawezi.
Akawalaghai watanzania 2010 kuwa anafahamu ufumbuzi wa matatizo yao wakati alifahamu kuwa hayafahamu.
Kwa sasa anawalaghai tena watanzania kuwa yuko kwenye "Vision tour" wakati anaomba visa ubalozi wa Marekani kwenye form za visa alisema anaenda Marekani kwa jambo lingine.
Sitashangaa kama hata process aliyotumia kupata u-Dr nayo atakuwa amelaghai.
Ulaghai ni zaidi ya ufisadi na tuupige vita kama ukoma.
chama cha mapinduzi maarufu kama ccm sasa kinaelekea kufutika katika ramani ya vyama vikongwe afrika, sasa baada ya kuona umaarufu wake unashuka kwa kasi ya ajabu na kutishia uhai wake, chama hiki kimekuja na mbinu mpya,
ccm imeanza kutoa mikopo ya pesa kwa wanachama wake ili wasiendelee kuhama chama hicho, na wasio wanachama ili wajiunge na chama hicho, wiki hii na mimi nimekuwa mmoja wa walionufaika na kodi yangu ambayo nimekuwa nikitozwa kila nikinunua nguo, furnitures, chakula, vinywaji, epa, uswizi, rada, buzwagi, nk. Tulifuatwa na kiongozi mmoja mkubwa wa ccm akatutaka tuanzishe kikundi cha watu 10 ili atupatie pesa, kweli bhana tumepokea mgawo wa shilingi milioni 10, tumegawana kila mmoja, ila tumeambiwa inabidi tupewe kadi za chama na kutafuta wanachama wapya tukasema poa tu, kula ccm lakini kura sisi tunaangalia mtu sio chama, huwezi kunilazimisha kuoa binti nisiye mtaka mimi, sisi tunajitambua kiakili na kifkira.
nini mahaba yenu kwa cdm
...maanake msipo andika siku kwenu sio nzuri...mnapenda nini mti bendera
au nyege za kutamka cdm au slaa ........tuuuuu
njooni arusha tayari kuna makundi yakutosha.itakua kheri sana,nitachukua hata kadi tatu,raha sana kurudishiwa kodi yangu
Mbona huchambui hoja? Hoja iliyopo mezani ni CCM kuwa saccoss, kukopesha wanachama wake! wewe unakuja na hasira zako dhidi ya Slaa! kweli unaakili timamu? Haya maisha bora mliyotuahidi watanzania yako wapi? ninani anaeneza ulaghai zaidi ya CCM na nyie wachawi wake?Hizi propaganda mnazofikiria vijana wa BAVICHA hamfahamu kuwa CCM ilishatoka huko zamani sana.
CHADEMA ni chama cha walaghai.
endeleeni kujifariji kwa ulaghai sababu ulaghai katika CHADEMA ni jadi lakini kumbukeni ulaghai una mwisho wake
Katibu wenu Mkuu amefika hapo alipofika kwa njia ya ulaghai na kwa sasa anakosa hata mbinu zaidi za ulaghai.
Dr. Slaa has got deception mentality na hawezi kuacha kwa sababu hata ahadi aliyoweka na Pope John Paul II hakuitimiza.
Alianzia kwenye kanisa, akalilaghai kama atakuwa mtumishi wa Mungu katika maisha yake yoye wakati anafahamu hawezi.
Akamlaghai Rose Kamili kama watakuwa wawili katika shida na raha (ndoa) wakati anafahamu kuwa hawezi.
Akawalaghai watanzania 2010 kuwa anafahamu ufumbuzi wa matatizo yao wakati alifahamu kuwa hayafahamu.
Kwa sasa anawalaghai tena watanzania kuwa yuko kwenye "Vision tour" wakati anaomba visa ubalozi wa Marekani kwenye form za visa alisema anaenda Marekani kwa jambo lingine.
Sitashangaa kama hata process aliyotumia kupata u-Dr nayo atakuwa amelaghai.
Ulaghai ni zaidi ya ufisadi na tuupige vita kama ukoma.
Chama cha Mapinduzi maarufu kama CCM sasa kinaelekea kufutika katika Ramani ya vyama vikongwe Afrika, sasa baada ya kuona umaarufu wake unashuka kwa kasi ya ajabu na kutishia uhai wake, chama hiki kimekuja na mbinu mpya,
CCM imeanza kutoa mikopo ya pesa kwa wanachama wake ili wasiendelee kuhama chama hicho, na wasio wanachama ili wajiunge na chama hicho, Wiki hii na mimi nimekuwa mmoja wa walionufaika na kodi yangu ambayo nimekuwa nikitozwa kila nikinunua Nguo, furnitures, chakula, vinywaji, EPA, USWIZI, RADA, BUZWAGI, NK. tulifuatwa na kiongozi mmoja mkubwa wa CCM akatutaka tuanzishe kikundi cha watu 10 ili atupatie pesa, kweli bhana tumepokea mgawo wa shilingi milioni 10, tumegawana kila mmoja, ila tumeambiwa inabidi tupewe kadi za chama na kutafuta wanachama wapya tukasema poa tu, kula CCM lakini Kura sisi tunaangalia mtu sio chama, Huwezi kunilazimisha kuoa binti nisiye mtaka mimi, sisi tunajitambua kiakili na kifkira.