CCM Yapumulia Mashine, Yageuka SACCOS

CCM Yapumulia Mashine, Yageuka SACCOS

B.G TANTAWI

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
496
Reaction score
379
Chama cha Mapinduzi maarufu kama CCM sasa kinaelekea kufutika katika Ramani ya vyama vikongwe Afrika, sasa baada ya kuona umaarufu wake unashuka kwa kasi ya ajabu na kutishia uhai wake, chama hiki kimekuja na mbinu mpya,

CCM imeanza kutoa mikopo ya pesa kwa wanachama wake ili wasiendelee kuhama chama hicho, na wasio wanachama ili wajiunge na chama hicho, Wiki hii na mimi nimekuwa mmoja wa walionufaika na kodi yangu ambayo nimekuwa nikitozwa kila nikinunua Nguo, furnitures, chakula, vinywaji, EPA, USWIZI, RADA, BUZWAGI, NK. tulifuatwa na kiongozi mmoja mkubwa wa CCM akatutaka tuanzishe kikundi cha watu 10 ili atupatie pesa, kweli bhana tumepokea mgawo wa shilingi milioni 10, tumegawana kila mmoja, ila tumeambiwa inabidi tupewe kadi za chama na kutafuta wanachama wapya tukasema poa tu, kula CCM lakini Kura sisi tunaangalia mtu sio chama, Huwezi kunilazimisha kuoa binti nisiye mtaka mimi, sisi tunajitambua kiakili na kifkira.
 
mkuu kwa sisi wa Temeke mpango huo unaanza lini ? Na mimi nikajichotee vya ubwete !
 
mkuu kwa sisi wa Temeke mpango huo unaanza lini ? Ili Na mimi nikajichotee vya ubwete !
 
Hongera ccm kuwasaidia wanachama ni miongoni mwa majukumu yenu kaeni na watu mtatue shida zao acheni wapinzani waandamane na kupiga kelele.
 
Hizi propaganda mnazofikiria vijana wa BAVICHA hamfahamu kuwa CCM ilishatoka huko zamani sana.

CHADEMA ni chama cha walaghai.

endeleeni kujifariji kwa ulaghai sababu ulaghai katika CHADEMA ni jadi lakini kumbukeni ulaghai una mwisho wake

Katibu wenu Mkuu amefika hapo alipofika kwa njia ya ulaghai na kwa sasa anakosa hata mbinu zaidi za ulaghai.

Dr. Slaa has got deception mentality na hawezi kuacha kwa sababu hata ahadi aliyoweka na Pope John Paul II hakuitimiza.

Alianzia kwenye kanisa, akalilaghai kama atakuwa mtumishi wa Mungu katika maisha yake yoye wakati anafahamu hawezi.

Akamlaghai Rose Kamili kama watakuwa wawili katika shida na raha (ndoa) wakati anafahamu kuwa hawezi.

Akawalaghai watanzania 2010 kuwa anafahamu ufumbuzi wa matatizo yao wakati alifahamu kuwa hayafahamu.

Kwa sasa anawalaghai tena watanzania kuwa yuko kwenye "Vision tour" wakati anaomba visa ubalozi wa Marekani kwenye form za visa alisema anaenda Marekani kwa jambo lingine.

Sitashangaa kama hata process aliyotumia kupata u-Dr nayo atakuwa amelaghai.

Ulaghai ni zaidi ya ufisadi na tuupige vita kama ukoma.
 
waambieni na kule jamii forum jukwaa la elimu kuna watu wamekosa hela za bodi wawapelekee na wao,, pia wakumbuke madaktar,, walimu,,,wakulima na nk hali zao hazilidhishi
 
Wangejua hizo hela ndiyo jeneza lao wangefikiria upya!

Wote wanaofikiwa na fedha hizo wachukue bila kujiuliza maana ni zao, wala hakuna mtu aliyemsaidia mtu hapo.
 
watakuja lini arusha? tutazila kweli kama zile za kampeni
 
inasemekana dhamana ni kadi ya ccm , hivi ni stationery gani hapa k.koo inayochapisha hayo matakataka nikajichukulie moja ? nikalambe mihela ya bure !
 
Hizi propaganda mnazofikiria vijana wa BAVICHA hamfahamu kuwa CCM ilishatoka huko zamani sana.

CHADEMA ni chama cha walaghai.

endeleeni kujifariji kwa ulaghai sababu ulaghai katika CHADEMA ni jadi lakini kumbukeni ulaghai una mwisho wake

Katibu wenu Mkuu amefika hapo alipofika kwa njia ya ulaghai na kwa sasa anakosa hata mbinu zaidi za ulaghai.

Dr. Slaa has got deception mentality na hawezi kuacha kwa sababu hata ahadi aliyoweka na Pope John Paul II hakuitimiza.

Alianzia kwenye kanisa, akalilaghai kama atakuwa mtumishi wa Mungu katika maisha yake yoye wakati anafahamu hawezi.

Akamlaghai Rose Kamili kama watakuwa wawili katika shida na raha (ndoa) wakati anafahamu kuwa hawezi.

Akawalaghai watanzania 2010 kuwa anafahamu ufumbuzi wa matatizo yao wakati alifahamu kuwa hayafahamu.

Kwa sasa anawalaghai tena watanzania kuwa yuko kwenye "Vision tour" wakati anaomba visa ubalozi wa Marekani kwenye form za visa alisema anaenda Marekani kwa jambo lingine.

Sitashangaa kama hata process aliyotumia kupata u-Dr nayo atakuwa amelaghai.

Ulaghai ni zaidi ya ufisadi na tuupige vita kama ukoma.

njooni Arusha tayari kuna makundi yakutosha.itakua kheri sana,nitachukua hata kadi tatu,raha sana kurudishiwa kodi yangu
 
Ngoja niende apa wilayani niwapelekee kadi langu la ccm ninalo toka 2008 lilikua uvunguni tu wanalalia panya, najua mil2 si haba
 
hizo zitakuwa ni hela za akina MASOGANGE mweeh!

ha ha ha ha ! NAPE KINANA BULEMBO hawoooooooooooo choka mbaya
chezea people'S Power weye
na bado
tutawashikisha adabu mpaka mtembeze barafu barabarani mumefiliska hamuna sera .balozi wa china where are you your friends are dieying teh teh teh
chadema nipe raha
 
Hizi propaganda mnazofikiria vijana wa BAVICHA hamfahamu kuwa CCM ilishatoka huko zamani sana.

CHADEMA ni chama cha walaghai.

endeleeni kujifariji kwa ulaghai sababu ulaghai katika CHADEMA ni jadi lakini kumbukeni ulaghai una mwisho wake

Katibu wenu Mkuu amefika hapo alipofika kwa njia ya ulaghai na kwa sasa anakosa hata mbinu zaidi za ulaghai.

Dr. Slaa has got deception mentality na hawezi kuacha kwa sababu hata ahadi aliyoweka na Pope John Paul II hakuitimiza.

Alianzia kwenye kanisa, akalilaghai kama atakuwa mtumishi wa Mungu katika maisha yake yoye wakati anafahamu hawezi.

Akamlaghai Rose Kamili kama watakuwa wawili katika shida na raha (ndoa) wakati anafahamu kuwa hawezi.

Akawalaghai watanzania 2010 kuwa anafahamu ufumbuzi wa matatizo yao wakati alifahamu kuwa hayafahamu.

Kwa sasa anawalaghai tena watanzania kuwa yuko kwenye "Vision tour" wakati anaomba visa ubalozi wa Marekani kwenye form za visa alisema anaenda Marekani kwa jambo lingine.

Sitashangaa kama hata process aliyotumia kupata u-Dr nayo atakuwa amelaghai.

Ulaghai ni zaidi ya ufisadi na tuupige vita kama ukoma.

Kwahiyo hapo ndo uwezo wako ulipokomea. Mleta uzi kaeleza jinsi ccm ilivyogeuka saccos, sasa Dr. Slaa anaingiaje hapo? Mtatukatisha yamaa hata wale tuliokuwa tukifikiria na ccm.
 
Hizi propaganda mnazofikiria vijana wa BAVICHA hamfahamu kuwa CCM ilishatoka huko zamani sana.

CHADEMA ni chama cha walaghai.

endeleeni kujifariji kwa ulaghai sababu ulaghai katika CHADEMA ni jadi lakini kumbukeni ulaghai una mwisho wake

Katibu wenu Mkuu amefika hapo alipofika kwa njia ya ulaghai na kwa sasa anakosa hata mbinu zaidi za ulaghai.

Dr. Slaa has got deception mentality na hawezi kuacha kwa sababu hata ahadi aliyoweka na Pope John Paul II hakuitimiza.

Alianzia kwenye kanisa, akalilaghai kama atakuwa mtumishi wa Mungu katika maisha yake yoye wakati anafahamu hawezi.

Akamlaghai Rose Kamili kama watakuwa wawili katika shida na raha (ndoa) wakati anafahamu kuwa hawezi.

Akawalaghai watanzania 2010 kuwa anafahamu ufumbuzi wa matatizo yao wakati alifahamu kuwa hayafahamu.

Kwa sasa anawalaghai tena watanzania kuwa yuko kwenye "Vision tour" wakati anaomba visa ubalozi wa Marekani kwenye form za visa alisema anaenda Marekani kwa jambo lingine.

Sitashangaa kama hata process aliyotumia kupata u-Dr nayo atakuwa amelaghai.

Ulaghai ni zaidi ya ufisadi na tuupige vita kama ukoma.

nini mahaba yenu kwa cdm ...maanake msipo andika siku kwenu sio nzuri...mnapenda nini mti bendera au nyege tuuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom