Kakudanganya nani kuwa wote Wana akili?Anaitwa Miryam Mjema, Mbunge wa Same Mashariki huko kaskazini tunakoamini kuna watu wenye akili sana
Gazeti la 2023 hilo
Sawa lakini ujumbe wake ni umesema kuanzia 2025 hadi 2035Gazeti la 2023 hilo
ni vikao vya CCM ndiyo viliamua tena nasikia nilivyafanya uamuzi huo mwaka 2023Una uhakika gani Samia kama atakuwa hai hadi huo mwaka 2035!?, maana ww siyo Mungu ujue!!.
Ni sahii kabisa, maana ile kamaliza awamu ya Magufuli,sasa Samia ndio anaanza awamu yake hadi 2035 inshallah!
ExactlyHuu ndo muhula wa kwanza make ule alikuwa anamalizia wa Magufuli
2040Rizi moko vipi?
Sasa kwanini walikomalia iitwe serikali ya awamu. ya sita?Huu ndo muhula wa kwanza make ule alikuwa anamalizia wa Magufuli
Duuuuh ngoja tuone itakavyo kuwaSawa lakini ujumbe wake ni umesema kuanzia 2025 hadi 2035
Si wamesema bi msumi 2035?2040
ahahaha,mtajijua wenyewe ila lazima amalize awamu yake hadi 2035....akitoka tunampa Abdul inshallahAaaha kmmk naaamia burundi
Sio riz tena?🤣ahahaha,mtajijua wenyewe ila lazima amalize awamu yake hadi 2035....akitoka tunampa Abdul inshallah