CDM kufa ni ndoto, lakini ukweli ni kuwa hao watu si ni wale wakivamia Ardhi na serekali imewataka waondoke.
Swali jee Chadema ikishika dola watawatimizia wote wale wavamizi wa hifadhi za serekali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenunuliwa hao. Au vipi makamanda! Alafu ebu edit tarehe ya kwenye tangazo hapo nyuma kabla wengine hawajaja kuona. Itasaidia kuwaingiza cha kike.
Kweli nyumbu ni janga la mbugani..angalia tarehe hapo kwenye karatasi nyuma..ni mwaka 2011..imepita miaka 8 sasa.View attachment 1057982
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwaka mgumu sana kwa Ccm, ukipita vijijini utasikia akina mama,vijana,wazee wakiongea bila kumung'unya maneno kuwa hawaitaki tena Ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni haki yao kujiunga wanapotakaWanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812
In God we trust
Ni haki yao kujiunga wanapotaka
lakini siku wakirudi walikotoka pia mtangaze namna hii badala ya kuwatukana matusi mazito.
Bendera anayo!, jengo atalipata wapi? Yaleyale ya Lyatonga Mrema yanajirudiaKwahiyo huyo poropesa ataongoza bendera na jengo tu[emoji16][emoji16][emoji41][emoji41]
In God we trust
Mbona bado mko kwenye mbeleko ya tiss, police na NEC, hamjiamini? mnaogopa nini kutembea wenyewe, au mbeleko tayari imewalemaza?Kwahiyo umekiri mwenyewe kwamba wale wanaohama CCM na kwenda huko Chama cha Mtu mmoja au wale wanaoenda katika kile Chama cha kwenye Noah na Opa ni wa Wapumbavu? Asante sana kwa Wewe leo Kukiri hivi mwenyewe na bahati nzuri sana CCM huwa hatukai na Wanachama Wapumbavu bali Chama chetu huwa kinaongozwa na Watu ' Geniuses ' tupu na ndiyo maana unaona hadi hivi leo kimeshika Hatamu na Kitaendelea Kushika Hatamu kwa Tanzania Bara na Visiwani hadi pale Dunia itakapopinduka miaka Elfu Kumi ( 10000 ) ijayo kutoka sasa.
Subiri uchaguzi ufike ndio utajua chadema imekufa au la,hamkawii kuanza vilio kuipa ubaya tume ya uchaguzi na serikali.mkisahau nchi imeanza na ccm na hao 100 ni sawa na unga kidooogo utokao kwa mtu mwenye ukurutu akijikuna.Wanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812
In God we trust
Ila kwingine wakirudisha za vyama vingine na kuingia ccm utasikia wamehongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ng'oaaaaaaWanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812
In God we trust
Subiri uchaguzi ufike ndio utajua chadema imekufa au la,hamkawii kuanza vilio kuipa ubaya tume ya uchaguzi na serikali.mkisahau nchi imeanza na ccm na hao 100 ni sawa na unga kidooogo utokao kwa mtu mwenye ukurutu akijikuna.
Sent using Jamii Forums mobile app