Siasa hizi za Ccm nazifananisha na Technology.
Technology ya simu ilishaingia kwenye jamii, huwezi kuwalazimisha watu watumie barua kuwasiliana.
Hata vyama vingi vilipoingia Tz, kwasasa huwezi kuua vyama vingi na kulazimisha watu wote kuwa chama Tawala.
Haitakuwepo tena na haitatokea Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeahirisha mapokezi ya basi letu?!Kwa akili yako hakuna mtu wa kukulaumu maana ndiyo ilipo ishia hapo
In God we trust
Lile bus alilozawadiwa Lisu bado halijawasili?Kwa akili yako hakuna mtu wa kukulaumu maana ndiyo ilipo ishia hapo
In God we trust
Mbona hawafiki hata 30? Picha za mwaka 2014 kamandaChadema haiwezi kufa kwa unga unga mkono juhudi za "WACHUMIA TUMBO".
Tarime hakuna mchezo wala unafikiWanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812
In God we trust
Watu wanasepa na Wabunge nyinyi mnafurahi wanakijiji 100 baada ya kuwapa rushwa ya Pombe ya kienyeji 😀😀
Kesho la wapi we msenge tu.Ccm bila kutumia jeshi la polisi kama ngao yake ni wepesi mno.
Uchawi wa kurithi una shida sana.ACT imeshawapiku sana. Kule Zanzibar CMD haitajapata mtu. Kule Kusini CDM haitajapata mtu. Kule Kanda ya Ziwa na Kigoma mnapukutika soon.
China wananchi wananufaika na kodi zao,Hakuna upigaji, ufisadi, wala 10%,wala wasiojulikana kuwateka wananchi, maendeleo hadi vijijini,elimu,afya bure na bora upinzani watapinga nn maana hakipo kero za wachina zinatatuliwaWatakwambia mbona China hakuna vyama vya upinzani[emoji16][emoji16][emoji16]
In God we trust
Hivi mikusanyiko kwa wapinzani imeshaanza kuruhusiwa...
Nani aliyewapa kibali cha vikao/mikutano mpaka kupelekea watu kukihama chama...
Cc: mahondaw
Kwani wanaopiga kura ni wabunge au wananchi?Watu wanasepa na Wabunge nyinyi mnafurahi wanakijiji 100 baada ya kuwapa rushwa ya Pombe ya kienyeji [emoji3][emoji3]
Kawarudishe kwa kofiaWatu wanasepa na Wabunge nyinyi mnafurahi wanakijiji 100 baada ya kuwapa rushwa ya Pombe ya kienyeji 😀😀
Kwaiyo nyie mnawapa rushwa ya mamilioni?Watu wanasepa na Wabunge nyinyi mnafurahi wanakijiji 100 baada ya kuwapa rushwa ya Pombe ya kienyeji [emoji3][emoji3]