CCM yapata pigo Tarime

Hata wakiwa wapumbavu lkn ni Watanzania, hakuna nchi yenye watu waelevu wote.

Kwahiyo umekiri mwenyewe kwamba wale wanaohama CCM na kwenda huko Chama cha Mtu mmoja au wale wanaoenda katika kile Chama cha kwenye Noah na Opa ni wa Wapumbavu? Asante sana kwa Wewe leo Kukiri hivi mwenyewe na bahati nzuri sana CCM huwa hatukai na Wanachama Wapumbavu bali Chama chetu huwa kinaongozwa na Watu ' Geniuses ' tupu na ndiyo maana unaona hadi hivi leo kimeshika Hatamu na Kitaendelea Kushika Hatamu kwa Tanzania Bara na Visiwani hadi pale Dunia itakapopinduka miaka Elfu Kumi ( 10000 ) ijayo kutoka sasa.
 
Yes, waliohama ni wapumbavu wanaotafuta comfort.
 
Kama ndivyo basi Mkuu kuna haja gani yakuwatumia Polisi, Mahakama,Bunge kupitia kwa Spika na hivi sasa nae Msajili wa Vyama vya Siasa mmeshamuingiza kwenye kundi la kupambana navyo?? Simngeviacha vijifie vyenyewe??

Hao leo mnaowaita Wana ccm wapumbavu siku wakiamua kurudi kwa Malaika kuunga mkono juhudi mnafanya sherehe. Rej kwa Mh Edo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamia popote utakapopaenda ni uhuru wako na haki yako ya kimsingi bali tufanye kazi Kwa maslahi yetu na Tanzania
 
Hao waliojiunga na CHADEMA usishangae wakaitwa polis- au uhamiaji soon kuthibitisha uraia wao!
 

Mwana CCM anayehama sasa na kwenda ' Hovyo Hovyo Party ' na kile kinachomilikuwa na Mtu Mmoja katika Noah na Opa Kwangu Mimi nawaona ni ' Wapumbavu ' sana tu. Mwana CCM mwenye Akili kabisa na anayejitambua na hakwenda Shule au Chuo Kikuu kupoteza muda hawezi Kukihama ng'o Chama ' Kilichobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu cha CCM. Tena kama kuna ' Wapuuzi ' Wenzao wengine wamebaki CCM na Wao waondoke upesi sana kwani CCM huwa hatulei Wapumbavu tafadhali.
 
Siasa hizi za Ccm nazifananisha na Technology.

Technology ya simu ilishaingia kwenye jamii, huwezi kuwalazimisha watu watumie barua kuwasiliana.

Hata vyama vingi vilipoingia Tz, kwasasa huwezi kuua vyama vingi na kulazimisha watu wote kuwa chama Tawala.

Haitakuwepo tena na haitatokea Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yue bwana yafaa arudie kauli yake tena kuwa upinzani utakufa
 
Leo kamati kuu inakaa kupanga sherehe ya mapokezi ya basi la lisu.
 
Napendekeza hicho kijiji kipigwe mabomu ya machozi kwa kutounga mkono juhudi
 
Kwa akili yako hakuna mtu wa kukulaumu maana ndiyo ilipo ishia hapo
Leo kamati kuu inakaa kupanga sherehe ya mapokezi ya basi la lisu.

In God we trust
 
Akamuulize yule mzee wa nyamuswa kilicho mpata baada ya kuitabiria kifo cdm
Yue bwana yafaa arudie kauli yake tena kuwa upinzani utakufa

In God we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…