maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 139
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center
Hahaha mkuu froida umepotea siku hizi uko wapi boss!!!!Safi sana wananchi achaneni na hayo mafirauni MACCM, MIaka hamsini eti wanasema wameleta maendeleo ya wananchi kunywa maji ya viluwiluwi kutiririsha mavi barabarani
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center
kwa majangilimlango ccm ukowazi.
Chama
cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi
mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center
mkuu ni wenyeviti wa nini? kijiji kitongoji?. mia
Habari za uzushi, Lugata CHADEMA haina mgombea makini, mmemweka jitu lisilo na sifa
wapi iyo?
adi huko CHADEMA wamefikaje?Kata ya Lugata iko Sengerema jimbo la Buchosa...kisiwani Kome
Chama cha mapinduzi kimdpoteza wenyeviti wanane na kujiunga na chadema
leo,hayo yametokea baada ya Kamanda Mawazo kutoa hotuba yenye ushawishi mkubwa kwenye kampeni za udiwani.Wa kwanza ni Ntimanywa wa Lugata center