CCM yapata kamanda mpya wa vijana mkoa wa Arusha

Wadau,

Juzi kumefanyika uchaguzi mkoani Arusha wa CCM ambapo chama kimepata kamanda mpya wa mkoa huo aitwaye ndugu Philemoni Mollel.

Akiwashukuru wajumbe wote wa chama kwa kumchagua kwa kura za kutosha amewahaidi vijana wa mkoa huo mabadiliko makubwa ya kiuchumi na ushindi mkubwa dhidi ya CHADEMA kwenye serikali za mitaa unaotarajia kufanyika hivi karibuni.

Nawasilisha

Mbona Mchaga ? Si wlaisema wachaga hawatakiwi Arusha?
 
CCM na watu wake wanatikisa kibiriti kwa arusha maana arusha ni nchi nyingine inayo milikiwa na CDM Ila nikama hawajajua
 
Mmegawa wali hadi juz ukawachachia pale kilombero!!!! sasa mmeamua kuitana kamanda!!!
Lema kiboko aaaaah aaaaah
 
Wadau,

Juzi kumefanyika uchaguzi mkoani Arusha wa CCM ambapo chama kimepata kamanda mpya wa mkoa huo aitwaye ndugu Philemoni Mollel.

Akiwashukuru wajumbe wote wa chama kwa kumchagua kwa kura za kutosha amewahaidi vijana wa mkoa huo mabadiliko makubwa ya kiuchumi na ushindi mkubwa dhidi ya CHADEMA kwenye serikali za mitaa unaotarajia kufanyika hivi karibuni.

Nawasilisha

tafadhali ccm hakuna makamanda kuna magamba makamanda wanavaa kombati wapo cdm
 
Back
Top Bottom