CCM yapata kamanda mpya wa vijana mkoa wa Arusha

CCM yapata kamanda mpya wa vijana mkoa wa Arusha

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
Wadau,

Juzi kumefanyika uchaguzi mkoani Arusha wa CCM ambapo chama kimepata kamanda mpya wa mkoa huo aitwaye ndugu Philemoni Mollel.

Akiwashukuru wajumbe wote wa chama kwa kumchagua kwa kura za kutosha amewahaidi vijana wa mkoa huo mabadiliko makubwa ya kiuchumi na ushindi mkubwa dhidi ya CHADEMA kwenye serikali za mitaa unaotarajia kufanyika hivi karibuni.

Nawasilisha
 
ccm mnafanya maigizo ya kuchekesha eti kamanda saiv mtatamka hadi peoplz power, araf eti mwarobain wa cdm poleni kwa kujikuna wenyewe alafu mnacheka.
 
Mkuu weka picha yake

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
chadema hapo arusha huyu ndio mwarobani wenu

Chezea Philemon weye,huyu atakuwa anataka ubunge Arumeru na atatokomea kama Mhuni Medeye.

Sasa Philemon na uzee wote ni Kamanda?

Kuna mhuni anaitwa KINGUNGE MWIRU eti na umri wake ni kamanda mkuu wa WAHUNI UVCCM.
 
Sikio la kufa daima huwa halisikii dawa,mangumi ya usoni yote bado washkaji hawakati tamaa!!!
 
chezea philemon weye,huyu atakuwa anataka ubunge arumeru na atatokomea kama mhuni medeye.

Sasa philemon na uzee wote ni kamanda?

Kuna mhuni anaitwa kingunge mwiru eti na umri wake ni kamanda mkuu wa wahuni uvccm.
chadema mjiandae anguko kubwa hapo arusha
 
ccm mnafanya maigizo ya kuchekesha eti kamanda saiv mtatamka hadi peoplz power, araf eti mwarobain wa cdm poleni kwa kujikuna wenyewe alafu mnacheka.
Kumbuka neno kamanda ni la tawala tokea enzi za mzee simba wa vita aliyekuwa kamanda wa vijana hadi mzee kingunge ambaye pia ni kamanda wa vijana pamoja na makamanda wengi wa vijana wanao simikwa kila uchwao.
 
Kwel tz ni ya maajabu, intarahamwe na makamanda cku hizi?
 
Kwel tz ni ya maajabu, intarahamwe na makamanda cku hizi?[/QUOT]

Si hilo tu, CCM wamegeuka mazombi maana hawajielewi, hata ile alama ya vidole viwili ambayo ni nembo ya CHADEMA sasa wanaitumia CCM eti wanadai serikali mbili bila kujua kuwa hapo wanaipeperusha nembo ya CHADEMA!
 
Wadau, kamanda mpya wa vijana mkoa wa ccm arusha amesemekana ndio mwarobaini dhidi ya chadema hapa arusha kutokana na kwamba ni mtu wa mikakati na vitendo mosi akiwahutubia wajumbe wa mkutano huo philemoni mollel amewahakikishia wana ccm kulirudisha jimbo hilo mwakani na kata zote zilizochukuliwa na chadema na kwamba vijana wa arusha wategemee mabadiliko makubwa ya kiuchumi kwa kuhamasisha uanzishaji wa vikundi vidogo vidogo vya kukopeshana mosi amewapa salamu nzito chadema kujipanga kwa anguko kubwa mwakani.kidumu chama cha mapinduzi.nawasilisha
 
Arusha chini au?maana hapa arusha hatutakaa kuiamini ccm ya wafanyabiashara na wageni mpaka pale itakaporudi mikononi mwa wenyewe.wakulima na wafanyakazi.
 
Back
Top Bottom