CCM yapasuka? Kinana ang'atuka...

Ameacha baada ya kwenda nchi za nje na kuona Watanzania walivyobadilika. Anajua Tanzania inahitaji mwelekeo mpya na wameishiwa na agenda
 
Ameshaona kuwa kwa mwenendo wa chama chao sasa hivi ataishia kuaibika.
 
Mkuu nngu007 point of correction Said Kibwana alikuwa Sales & Marketing Manager wa General Tyre kipindi hicho.Ikumbukwe kipindi hicho kulikuwa na uhaba wa matairi sana Bwana Kibwana alionekana kama lulu akanogewa na siasa akajiingiza kugombea ubunge huko kwao akaangukia pua na huo ukawa mwisho wa utajiri wake.Bwana Kibwana alikuwa na wake wawili wote wakamkimbia mmoja wapo kaolewa na Maulid wa Kitenge mtangazaji wa Radio One.

 
akapumzike 25 years inatosha kwake kwa mazuri tutamkumbuka ila kwa mambaya walipoufukisha nchi tunaona ni ***** tu
 

Hii nayo ni reference...(!)
 

kheee kama ndo hivo basi maulidi kaoa mtu mwenye umri sawa na mama yake..
 


Mke wa Kwanza wa Kibwana alikuwa na watoto Wawili nae... Waliachana na akaja kumuoa

Mtoto wa Kayugwa Arusi yake enzi hizo walienda MIKOA kama 6 an yote wanafanyiwa Vi-Party

na Matajiri wa MIKOA hiyo Huyu alikaa nae sasa na wana tatoto watatu kama sikosei... 1988

ALIPANDISHWA CHEO KUWA GM na Assistant GM alikuwa ni Mzungu... Yeye KIBWANA yeah

wanawake wameondoka lakini PESA anazo bado Yuko kwenye Biashara ya IMPORT and EXPORT...

na Ana Ma-GOD Fathers - Kikwete; Lowassal Kinana...
 
Kila la heri Kinana. Kaendelee na biashara za vitalu!!!! Hivi huyu si walisema si raia? Ila alikuwa mjeshi asiye raia!!! Tanzania bwana!! Akae tu mbali asikosoe maana issue ya uraia itaanza upya!! Mkampeni Mkuu!!
 

Ndiyo huyu mke wa pili au wa kwanza? Kuna picha ilirushwa arusi ya huyu bwana na mke alikuwa mtu mzima sana hadi nikashangaa kupita maelezo. Inaonekana mama yule ni over 10 years kwa Kitenge!! Mapenzi ni kengeza, huoni!!
 





Nafikiri ni mke huyu mnasemea au? Du umri umeenda sana!! Mapenzi kikohozi, ni kengeza!!!
 
Mkuu Zogwale bila shaka huyu ndiye aliwahi kufanyakazi Air Tanzania enzi za usichana wake alikuwa bomba sana.

 
Last edited by a moderator:
Mkuu nngu007 siku hizi Bwana Kibwana ana fedha za kubadilisha mboga enzi zake alikuwa na fedha za kumwaga.Katika uhai wa General Tyre cheo cha General Manager kilikuwa kikishikwa na wazungu [Marekani] pekee Bwana Kibwana alikuwa akikaimu nafasi ya General Manager wakati likizo ya General Manager anapokuwa ameenda Marekani kwa mapumziko yasiyozidi mwezi mmoja kila mwaka.

 
Last edited by a moderator:

Fedha za kubadilisha MBOGA ndio zipi?
 
Haya ni matokeo ya makundi na wanafikiri watu hawa watayaondoa! Alafu Mzee Kinana unaelewa maana ya Kung'atuka?
 
Tulisema lipo jambo na Nape alikuwa analijua! Sina uhakika kama kinana ametamani ''siasa uchwara tena''
Swali la Pasco halikuwahi kujibiwa.

Nape, JF is ahead of time always!
 
Inakuwaje mtu anakula matapishi yake mwenyewe,ameamua kupumzika then anarudi tena kushika nafasi ya katibu mkuu wa chama,ni tamaa ya hela,madaraka au kukosa msimamo!
 
🥶🥶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…