CCM Yaongoza kwa Rushwa Tafiti Data Point

Chademakwanza

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
6,346
1,871
Tasisi ya Data point imetoa matokeo ya Tafiti yake ya vyama vya siasa na CCM imeongoza kwa kutoa na kupokea rushwa kwenye chaguzi zao za ndani na kutofuata katiba yao kwa sababu mbalimbali
 
Tasisi ya Data point imetoa matokeo ya Tafiti yake ya vyama vya siasa na CCM imeongoza kwa kutoa na kupokea rushwa kwenye chaguzi zao za ndani na kutofuata katiba yao kwa sababu mbalimbali

CCM ndio Mzazi, Mlezi na Muendelezaji wa Rushwa zote hapa Tanzania
By Pasco
 
Last edited by a moderator:
Ukiweka jiwe na CCM bora nichague Jiwe kuliko wauza nyumba wa serikali na umma eti leo nao wanataka Urais
 
Hiki Chama cha Mapinduzi ndiyo Taasisi pekee hapa nchini inayoongoza kwa Rushwa ambayo inaweza kushindanishwa na nyingine Barani Afrika. Kwa maana kama kuna mashindano ya rushwa hapa Afrika sisi tunawatuma CCM watuwakilishe ili kupata ushindi.
Hilo hata Mwenyekiti wao analijua wazi na alisha declare kulishindwa
ImageUploadedByJamiiForums1438406276.259555.jpg
 
Tasisi ya Data point imetoa matokeo ya Tafiti yake ya vyama vya siasa na CCM imeongoza kwa kutoa na kupokea rushwa kwenye chaguzi zao za ndani na kutofuata katiba yao kwa sababu mbalimbali

Ukoo wa panya huo unajulikana.

Anzia babu hadi kitukuu wote wezi, wala rushwa na watoa rushwa.

Bado tututaona mengi kuhusu huu ukoo.
 
Back
Top Bottom