Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
rage..!!?????
Haijawahi dhibitika mahusiano hayo, ingawa viongozi wakuu wanachama wa CCM wapo Simba na Yanga tangu kitambo. Mfano Nyerere alikuwa mwanachama wa awali sana wa Yanga wakati Karume alikuwa Simba. Kutokana na rangi za Yanga na kuwepo kwa chama kimoja kipindi kile, Yanga ilikuwa ikishinda watu/wapenzi walishangilia wakiimba CCM CCM CCM. Ila ilikuwa haimilikiwi na CCM. Kuna wengine watakuelezea kuhusu team ya Brazil na Manchester. Subiri majibu ya rejareja ya wkend.
John Mnyika alikuwa shabiki wa Yanga lakini siku Yanga ilipoifunga Sima kisha watu kushangilia CCM CCM CCM CCM ikamtumbukia nyongo na kamua kuwa shabiki wa Simba.
Hilo halina ubishi kabisa kuwa YANGA aka KANDAMBILI aka YEBOYEBO ni CCM pure
Aisee Lyimo naona umeanza weekend...Karume naye alikuwa Yanga. Hadi leo Mkewe nadhani ni mmoja wa wadhamini kama sio walezi...kwa kifupi Yanga ilitumika katika harakati za ukombozi wa Tanganyika wakati simba ikiwa ya waarabu zaidi na watu wa aina hiyo...Yanga ilikuwa ya walalahoi na wazalendo wa kweli wenye uchngu na taifa lao kwahiyo kufanana kwa rangi na CHAMA CHA MAJAMBAZI hakuwezi kuwa justification ya kuwa Yanga ni CCM.Haijawahi dhibitika mahusiano hayo, ingawa viongozi wakuu wanachama wa CCM wapo Simba na Yanga tangu kitambo. Mfano Nyerere alikuwa mwanachama wa awali sana wa Yanga wakati Karume alikuwa Simba. Kutokana na rangi za Yanga na kuwepo kwa chama kimoja kipindi kile, Yanga ilikuwa ikishinda watu/wapenzi walishangilia wakiimba CCM CCM CCM. Ila ilikuwa haimilikiwi na CCM. Kuna wengine watakuelezea kuhusu team ya Brazil na Manchester. Subiri majibu ya rejareja ya wkend.
yanga ni kweli ccm ndo maana wamechoka ka ccm yenyewe!!😛oa
John Mnyika alikuwa shabiki wa Yanga lakini siku Yanga ilipoifunga Sima kisha watu kushangilia CCM CCM CCM CCM ikamtumbukia nyongo na kamua kuwa shabiki wa Simba.
Ndiyo maana viwanja vyote ni vya ccm..
Hilo halina ubishi kabisa kuwa YANGA aka KANDAMBILI aka YEBOYEBO ni CCM pure
Hakuna uhusiano wa
moja kwa moja kati ya hizo timu na hivyo vyama. Lakini wapaswa kujua
kuwa enzi zile za ukoloni harakati za siasa zilikuwa zinafanya kwa
kificho na mojawapo ya sehemu zilizotumika ni klabu za michezo. Kutokana
na asili na historia ya Yanga waasisi wa TANU waliitumia kuendesha
harakati za kudai uhuru. Hivyo naturally, ilitokea waasisi wengi wa TANU
na baadae CCM walikuwa na ushabiki na Yanga kwa sababu ya hiyo
historical connection. Yafaa ujue pia kuwa Yanga ilikuwa timu ya
wazalendo weusi na simba ilikuwa timu ya wageni.
Lakini with time, kumetokea kitu kama vile 'intermarriages' ambapo
waafrika weusi waliingia simba na wageni pia waliishadadia yanga. Na
ndio mix unayoona leo. Kibwagizo cha CCM ni cha zamani zile ambapo chama
kimeshika hatamu na kila mtu alikuwa assumed kuwa CCM maana ndio chama
pekeee. However, Yanga hawatumii tena hicho kibwagizo siku hizi bali ni
simba ili kuwakejeli yanga kama ilivyo kwa yanga wanavyoimba simba,
simba, simba au eeeh kidedea kuwakejeli simba pale yanga inaposhinda.
Juzi kama ulikuwepo uwanjani utaweza ku-prove hili.