CCM yamtema waziri Aggrey Mwanri

CCM yamtema waziri Aggrey Mwanri

Siasa za urais Hizo ......Rais Hatatoka kaskazini..,,.any potential candidate wanamwekea vikwazo.....

Sokoine ..Walimuuwa..
Msuya ....kura hazikutosha....
mrema ..,,wakamuwekea kigingi cha degree...
mramba ...mahakamani.....
Sumaye ...anapigwa vita
Lowassa anawekewaa zengwee
Chami wamemtosa uwaziri...hata hivyo U- Nec kapita bila kupingwa....
mwamry ..,,wamemlazimisha aondoe jina....


Na hakuna nata MMOJA CENTRAL COMMITTEE ya CCM
 
Wabunge kutogombea Nec ni uamuzi mzuri kwani kwa mtu aliye na majukumu machache efficiency inaongezeka.
 
Siasa za urais Hizo ......Rais Hatatoka kaskazini..,,.any potential candidate wanamwekea vikwazo..... Sokoine ..Walimuuwa.. Msuya ....kura hazikutosha.... mrema ..,,wakamuwekea kigingi cha degree... mramba ...mahakamani..... Sumaye ...anapigwa vita Lowassa anawekewaa zengwee Chami wamemtosa uwaziri...hata hivyo U- Nec kapita bila kupingwa.... mwamry ..,,wamemlazimisha aondoe jina....
Watajuana wenyewe na siasa zao za kizee, sio kumuuwa Sokoine tu, wakitaka wauane hata wote hakuna hasara, tushawachoka!!
 
Safi chama makini hufanya maamuzi sahihi big up mwendo mdundo
 
Itakuwa poa sana kama wilaya zingine zitafuata uamuzi wa kamati ya ccm wilaya ya Siha ya kuwaengua hasa wabunge kwenye kugombea nafasi za Nec!!

na iwe hivyo kwa nchi nzima,haiwezekani mtu mmoja anakuwa na vyeo lukuki!ndo mana hakuna ufanisi!
 
Hongereni saaaaaaaaana Siha kwa uamuzi huu wa kiutu uzima. Kwa kweli inatia aibu kudhani kuwa mtu mmoja tu ndo mwenye kuweza -afadhali tugawane umasikini kwa kugawanya vyeo kwa watu tofauti ili kuepuka kutengeneza waungu watu kwa utajiri wao amabo hakikia tunawapa siye na kuacha wengine maskini
 
Back
Top Bottom