Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
pengine chadema wamemuwahi kumuandikia JK labda tangu awali alikuwa na wazo la kuzungumza na vyama vyote vya upinzani
mara mumpuuze Jk, mara mlalamike kama vile hamtaki kukutane naye kisha mnalilia kukutana naye peke yenu. kweli Jk ni Rais wa wote kashika mpini
Wewe uko wapi mpaka sasa hujui kama ameshakubali?Jk bado hajasema kitu kama kakubali ushauri wa nec au la lakini waliozoea kuandamana wanataka kuandamana
cuf mke wa ccm kama mnavodai cdm wote,ila nyie cdm mnaojitongozesha kwa jk je mnataka kujiozesha kwa nguvu kwa jk na ccm au tuwaeleweje?ama kweli nyani haoni kundule.Wanataka mke wao CUF, na nyumba ndogo TLP na UDP pia wawepo.
mshe........................................wewemara mumpuuze Jk, mara mlalamike kama vile hamtaki kukutane naye kisha mnalilia kukutana naye peke yenu. kweli Jk ni Rais wa wote kashika mpini
gamba wewe, kama huna hoja ya kuchangia si ukae kimya?mara mumpuuze Jk, mara mlalamike kama vile hamtaki kukutane naye kisha mnalilia kukutana naye peke yenu. kweli Jk ni Rais wa wote kashika mpini
Kikwete anatakiwa ajaribu ku act as the president, not the magambaz chairman!
Walioandika barua chadema, halafu hao wapumbavu wa magamba wanapendekeza eti akutane na vyama vyote vya upinzani wapi na wapi!
Nadhani wanapendekeza hivyo kwa sababu vyama vingine vya upinzani ni warembo wa ccm!
cuf mke wa ccm kama mnavodai cdm wote,ila nyie cdm mnaojitongozesha kwa jk je mnataka kujiozesha kwa nguvu kwa jk na ccm au tuwaeleweje?ama kweli nyani haoni kundule.
chadema wanakwenda kufanya nini kwa mume wa mwenzao? isije ikawa ile ilikuwa barua ya kukubali posa?
mimi nimeelewa na wewe pia nimekuelewa na pia nimegundua kuwa wewe hujawaelewa wachangiaji wa thread hii.Jamani CCM kushauri siyo kitu kibaya,maana mwenye uamuzi wa mwisho ni rais mwenyewe, ambaye kimsingi amewakaribisha CHADEMA Ikulu.Hivi hapa tatizo ni nini, au watu wanataka kusikika tu, tuwe na uvumilivu wa kumsikiliza mwenzako na sio ku pre judge ya kuwa CHADEMA tu ndio wenye uwelewa wa kila jambo kila wakati.