Kuna siku niliuliza, hivi Kinana kweli anafanya haya kwa faida ya nani?? CCM!!? No way! Ingawa siamini kama ana hiyo nguvu na uwezo wa kupata nafasi hiyo nyeti ukizingatia asili yake na politics za siku hizi za kugawa Watanzania ambazo CCM wameziasisi wenyewe bado naamini huyu bwana yupo hapo kumsafishia mtu njia.