Hayawi hayawi yamekuwa habari za ndani kabisa zunadai CCM imeshameguka na kuna mivutano inayotokana na makundi na mitandao inayoelekea kutaka kuweka mtu wao kugombea Uraisi ,Kumbe ile mbinu ya Kinana na Nape kuzunguka nchi ni moja ya mbinu na mikakati ya kujijenga mmoja kati yao ni mgombea mtarajiwa ,tayari wameshasitukiwa na ziara zao zimeanza kupigwa mikwala na kutiliwa shaka kwa sababu za kufanya ubadhirifu wa hela za chama na pia kutumia baadhi ya mambo na vifaa vya serikali ikiwemo magari.
Na waliondani wamesema sasa hivi hali ni mbaya kifedha ,pia kumekuwa na kudharauliana na kubaguana ,pia kuna baadhi ya vigogo huenda wakatimkia vyama vingine vya siasa ,wakikiacha CCM kikiwa kwenye mtafaruku.
source please...
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.Hayawi hayawi yamekuwa habari za ndani kabisa zunadai CCM imeshameguka na kuna mivutano inayotokana na makundi na mitandao inayoelekea kutaka kuweka mtu wao kugombea Uraisi ,Kumbe ile mbinu ya Kinana na Nape kuzunguka nchi ni moja ya mbinu na mikakati ya kujijenga mmoja kati yao ni mgombea mtarajiwa ,tayari wameshasitukiwa na ziara zao zimeanza kupigwa mikwala na kutiliwa shaka kwa sababu za kufanya ubadhirifu wa hela za chama na pia kutumia baadhi ya mambo na vifaa vya serikali ikiwemo magari.
Na waliondani wamesema sasa hivi hali ni mbaya kifedha ,pia kumekuwa na kudharauliana na kubaguana ,pia kuna baadhi ya vigogo huenda wakatimkia vyama vingine vya siasa ,wakikiacha CCM kikiwa kwenye mtafaruku.
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.
Huu muda mnaopoteza kuishambulia CCM.
Imarisheni UKAWA, waambieni na wananchi kwanini wawaamini, na waulizeni kwanini wanawaona ni matapeli. CCM sio saizi yenu.
Kinana anawatoa makamasi,..mtaisoma,namba mwaka huuu
Kinana kanyaga twende Comrade
Kinana anawatoa makamasi,..mtaisoma,namba mwaka huuu
Kinana kanyaga twende Comrade