Vipi Mwigulu atakuja tena na ile! mtu yake ya maonesho..!?
Kwani hiyo nyomi wewe huioni. Watu wamechoka kuitwa wasaliti kila wanapohoji kuhusu lolote cdm. CCM inatisha, Mwiguluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Kimbia bavicha anakuja huyo si utaniDah! Ulitaka kuvuta hisia za watu eee? Nadhan heading ingekuwa, ccm kuiteka Arusha leo?
Mbona mnyonge? Hiyo ilkuwa saa 7 na mkutano saa kumi au ulidhani CCM Arusha haipo, umepotea, hiyonikata moja tu. Nyambafu bavicha. Halafu nimeambiwa hiyo ni picha yako halaliHa ha ha ha mpo kidogo utafikiri chumvi ya kuomba kwa jirani,KWELI HISTORIA YA MAHUDHURIO HAFIFU
Mbona mnyonge? Hiyo ilkuwa saa 7 na mkutano saa kumi au ulidhani CCM Arusha haipo, umepotea, hiyonikata moja tu. Nyambafu bavicha. Halafu nimeambiwa hiyo ni picha yako halali
View attachment 134815 View attachment 134824cc: Mungi Earthmover Erythrocyte Lunyungu Yericko Nyerere oneni mwanaume wa shoka huyo safari hii hata mkilipua mabomu mtaambulia patupu
View attachment 134815 View attachment 134824
Ebu tumia akili kidogo uliyonayo kutathmini hizi picha Mbili halafu utapata jibu ni picha ipi inayoonyesha wananchi wamekwenda kwa mapenzi yao na ni hipi ambayo wananchi wamekwenda kwa kulazimishwa au kwa sababu kuna kitu wamepewa au kuhaidiwa. HAPA NINACHOO MAANISHA SARE ZA CHAMA. kwani ukiona watu wengi wamekusanyika huku wakiwa wamevaa sare za chama ujue wameandaliwa na inawezekana sio wakazi wa eneo husika na kuwa na sare hizo ni kurahisisha utambulisho wakati wa kula wali na katika usafiri kurudi walikotoka.

mwakahuu watu mtahudhurishwa mikutano hadi mkome,yangu macho kisa cha kumaliza sole za viatu?...
Dakika chache zilizo pita Makamanda kazini....
Niko hapa na kada wetu Saiboku na Wille mtoto wa Monduli.CCM imejaliwa vijana wenye upeo mkubwa sana.