CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006 Ndugu Absalom Kibanda usiku wa kuamkia Jumatano Machi 6, 2013.
Chama Cha Mapinduzi kinalaani kwa nguvu zote kilichotokea kwa Absalom Kibanda, kwani ni unyama usiokubalika hata kidogo, unafaa kulaaniwa na Watanzania wote.
CCM tunaitaka Serikali kuhakikisha inawapata waliofanya unyama huo na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria ili sheria ifuate mkondo wake, na kukomesha matukio ya namna hiyo.
Aidha, Chama Cha Mapinduzi kinatoa pole kwa Uongozi wa Jukwaa la Wahariri, Afisa Mtendaji Mkuu wa New Habari 2006, familia ya Ndugu Kibanda, wanahabari na wadau wote wa habari nchini, na tunamwombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka na kurejea katika kazi zake za Ujenzi wa Taifa.
Imetolewa na:
Nape M. Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UEENEZI
08/03/2013
[h=5]CHAMA CHA MAPINDUZI

08/03/2013[/h]
Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu
Nilitegemea kuona kauli na matamko kama haya yakitolewa na vyama vingine kama chadema na vingine kama ilivyokuwa kwa mwangosi na wengineo. ila ukimya wao unatoa picha tofauti na tafsir zisizo na majibu ya moja kwa moja.
Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu
katoa ushahidi polis ili kuisaidi hiyo serikali yako ya majambazi na ung'oaji kucha.Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mhariri Mtendaji wa New Habari 2006 Ndugu Absalom Kibanda usiku wa kuamkia Jumatano Machi 6, 2013.
Chama Cha Mapinduzi kinalaani kwa nguvu zote kilichotokea kwa Absalom Kibanda, kwani ni unyama usiokubalika hata kidogo, unafaa kulaaniwa na Watanzania wote.
CCM tunaitaka Serikali kuhakikisha inawapata waliofanya unyama huo na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria ili sheria ifuate mkondo wake, na kukomesha matukio ya namna hiyo.
Aidha, Chama Cha Mapinduzi kinatoa pole kwa Uongozi wa Jukwaa la Wahariri, Afisa Mtendaji Mkuu wa New Habari 2006, familia ya Ndugu Kibanda, wanahabari na wadau wote wa habari nchini, na tunamwombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka na kurejea katika kazi zake za Ujenzi wa Taifa.
Imetolewa na:
Nape M. Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,
ITIKADI NA UEENEZI
08/03/2013
kwa hiyo kumbe ni kweli na nyie mlimpiga ulimboka na mwangosi via TISS na POLICE respectively au labda unataka ku justify vipi cdm inahusika kwa tukio hili,mimi na justify kwa hayo matukio mawili kwa kuwa walitajwa na kuonekana kwamacho naa bila ya hatua kuchukuliwa je?kulikoni tukio hili na tamko la NAPE?Vibaka wa Chadema kwa kujibaraguza bhana!!!! Sasa mumpige nyie kwa kukerwa na makala zake za kuisifia CCM then mje hapa mnachongaaaaaaaaaaa! Nyambafu zenu