CCM yalaani mauaji Arusha

CCM yalaani mauaji Arusha

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
[h=5]"Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mlipuko wa bomu kwenye kanisa mjini Arusha,pia kinatoa pole kwa wafiwa na majeruhi,pia kina LAANI vikali wale walio husika na tukio hilo na kinalitaka jeshi la Polisi lichukue hatua kali kwa wote wanaohusika"_A.Kinana(Katibu Mkuu-CCM)[/h]
 
"Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mlipuko wa bomu kwenye kanisa mjini Arusha,pia kinatoa pole kwa wafiwa na majeruhi,pia kina LAANI vikali wale walio husika na tukio hilo na kinalitaka jeshi la Polisi lichukue hatua kali kwa wote wanaohusika"_A.Kinana(Katibu Mkuu-CCM)

Na sisi watanzania tulaani UJANGILI WA KINANA dhidi ya Tembo....
View attachment 92664
Kinana Strikes Again
 
KAMA KUNA MTU BADO ANAKUMBUKA OMAR MAHITA NA 'TOROLI YA VISU VYENYE TOMATO SAUCE', KILE KINACHOITWA 'UGAIDI' JIJINI ARUSHA UNA MALENGO YA KISIASA KUGAWA JIJI HILO KIDINI KUNAKOELEKEA UCHAGUZI WA MADIWA. WaTanzania wala tusipumbazwe kama mazezeta hivi; hakuna cha(1) Sheikh Ilunga, (2) Al-Shabaab, (3) Al-Qaeda wala nani anayewadhuru wananchi kwa malengo ya kuleta hofu na hali ya kutokuaminiana kati ya Wakristo kwa Waislamu nchini. Kwa kufuatilia matukio ya 'Ugaidi wa Kuchonga' na matukio ya hivi karibuni jijini Arusha lazima ujiulize kwamba kati ya watajwa watatu hapo juu na (4) Serikali ya CCM, ni yupi kati ya wote mwenye kuweza KUNUFAIKA kisiasa na ulipuaji ovyo wa mabomu A-Tauni??????? Na kwa mtindo huo ndio maana kati ya michango yote juu ya tukio hili la kusikitisha sana, hakika nimeweza kumtambua mwenzetu huyu, Mkuu Lyamunda, kuwa kweli ni great thinker mwenye uwezo mkubwa kuona ujumbe ilioko nyuma ya ujumbe unaoonekana wazi kwa kila mtu. Ni masikitiko yalioje kuona jinsi gani serikali ya CCM inavyotumia dhana ya 'Ugaidi' kwa maslahi kisiasa kwa mtindo ambao sio kabisa. Wakristo kwa Waislamu kote nchini, tafadhalini kaeni mbali sana na hizi mbinu chafu za CCM na serikali yake kutumia hizi mbinu za ki-Nazi kutafuta kutugawa kwa misingi ya kidini kwa kutumia silaha yao mpya ya 'Ugaidi unaosimamiwa na vijana wake'.
 
Hivi KULAANI VIKALI ndo kufanyaje? Hiki si ndicho chama dola? Mnafikiri kuja na matamko ya kulaani vikali pekee bila kuchukua hatua stahiki mlizoambiwa na viongozi wa dini, inatosha? Mwenyekiti wenu alishaambiwa kuwa mambo haya hayajaanza bila maandalizi, hadi akapewa ushahidi wa CD na DVD zikionyesha waislamu kupitia Sheikh Ilunga alivyoamrisha waumini wake kuua Wakristo kote nchini, lakini bado mnacheka cheka tu kama mazuzu na shehe yupo mtaani anapeta tu!
 
attachment.php
 
ni bora wangeliacha tamko ra Mwenyekiti likasimama juu ya haya yote maana huyu aliyetoa hili tayari amekuwa gumzo bungeni na mtaani kwa juma lote lililopita, na naona wachangiaji hapa tayari wana hasira na mjadala wa juma lililopita!

KAMA KUNA MTU BADO ANAKUMBUKA OMAR MAHITA NA 'TOROLI YA VISU VYENYE TOMATO SAUCE', KILE KINACHOITWA 'UGAIDI' JIJINI ARUSHA UNA MALENGO YA KISIASA KUGAWA JIJI HILO KIDINI KUNAKOELEKEA UCHAGUZI WA MADIWA. WaTanzania wala tusipumbazwe kama mazezeta hivi; hakuna cha(1) Sheikh Ilunga, (2) Al-Shabaab, (3) Al-Qaeda wala nani anayewadhuru wananchi kwa malengo ya kuleta hofu na hali ya kutokuaminiana kati ya Wakristo kwa Waislamu nchini. Kwa kufuatilia matukio ya 'Ugaidi wa Kuchonga' na matukio ya hivi karibuni jijini Arusha lazima ujiulize kwamba kati ya watajwa watatu hapo juu na (4) Serikali ya CCM, ni yupi kati ya wote mwenye kuweza KUNUFAIKA kisiasa na ulipuaji ovyo wa mabomu A-Tauni??????? Na kwa mtindo huo ndio maana kati ya michango yote juu ya tukio hili la kusikitisha sana, hakika nimeweza kumtambua mwenzetu huyu, Mkuu Lyamunda, kuwa kweli ni great thinker mwenye uwezo mkubwa kuona ujumbe ilioko nyuma ya ujumbe unaoonekana wazi kwa kila mtu. Ni masikitiko yalioje kuona jinsi gani serikali ya CCM inavyotumia dhana ya 'Ugaidi' kwa maslahi kisiasa kwa mtindo ambao sio kabisa. Wakristo kwa Waislamu kote nchini, tafadhalini kaeni mbali sana na hizi mbinu chafu za CCM na serikali yake kutumia hizi mbinu za ki-Nazi kutafuta kutugawa kwa misingi ya kidini kwa kutumia silaha yao mpya ya 'Ugaidi unaosimamiwa na vijana wake'.

beyondi dauti wao wanahusika hasa tukiangalia trendi nzima ya picha hili lilikoanzia sikatai maneno yako
 
"Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya mlipuko wa bomu kwenye kanisa mjini Arusha,pia kinatoa pole kwa wafiwa na majeruhi,pia kina LAANI vikali wale walio husika na tukio hilo na kinalitaka jeshi la Polisi lichukue hatua kali kwa wote wanaohusika"_A.Kinana(Katibu Mkuu-CCM)
Nilitegemea zaidi ya hapa, nilitegemea CCM ishauli polisi wakafanye upekuzi kule kwenye jimbo lililopewa mamlaka ya kujitawala Loliondo chini ya UAE wanaweza kuwa ndio waliotoa msaada wa bomu!.
 
Mbona kachelewa au kwa sababu Boss anakuja atamuuliza umefanya nini?
 
Na sisi watanzania tulaani UJANGILI WA KINANA dhidi ya Tembo....
View attachment 92664
Kinana Strikes Again
ASIFU WA LUKOSI
1.
Huyu jamaa alikuwa polisi akafukuzwa sababu ya ajali katika msafara wa pm wakati ule John Malecela na kukimbilia Botwana kwa dada yake ambaye ni Nurse.2
2.Lukosi alifuatana na dadake nchini uk baada ya kupata kazi uk nayeye alipata nafasi ya kuambatana naye uk.
3.Lukosi alipata nafasi ya kujifanya mkimbizi na kuukana utanzania pamoja na porojo zake yeye uk anafahamika kama mkimbizi wa kisiasa na njaa.
4. Lukosi alipata kazi ya kuwa traffic warden kwa bahati mbaya alipata ajali ambayo ilimfanya adhurike kichwani alilazwa kwa muda mrefu na aliathirika na ajali ile kichwani.Kampuni aliyokuwa akiifanyia kazi ilimlipa malipo kutokana na ajali hiyo,na baada ya muda aliacha kazi na kuanza biashara.
5 Lukosi alianza biashara za kupeleka magari mabovu Tanzania na baiskeri za wizi kutokea maeneo ya barking&dagenham na baada ya muda alianza biashara nyingine ambazo wengi wanazijua.
6 Lukosi alijaribu kujiingiza kwenye siasa baada ya kukutana na mbunge Lema jijini London,na nia kubwa akifikiri atapata tender za kusafirisha mizigo na magari ya chadema.Alipewa nafasi kukaa hotelini kwa mzee ndesambulo jijini Dar kwa week moja free of charge.
7 Baada ya kukosa tender hiyo Lukosi alirudi ccm ambapo hajawahi kuwa mwanachama uk,na alianza kashfa nyingi kuhusu chadema na hii ni kutokana na waajiri wake wa biashara (sizisemi) kutoka Tanzania ambao ni wafadhiliwa na ccm kutokana biashara hizo.Ametumia muda mwingi mtandaoni ili wamkubali kuwa katoka chadema na anaichafua.
8 Kashfa aliyoitoa kwa mbunge Lema kuhusu kubaka huko London,kwa taarifa za uhakika yule dada ni muathirika wa VVU na alikuwa ni mpenzi wake LUKOSI kwa muda.
Tumdharau Lukosi kwa sababu ana ugonjwa wa pressure na inasemekana ni muathirika wa vvu si mwana siasa ila ni stress zinamsumbua naomba kutoa hoja
 
Back
Top Bottom