CCM yakutana kikao kazi na wadai wa sekta ya uwekezaji na uwezeshaji wananchi kiuchumi

wandamba

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
510
839
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo Jumatano 30 Juni 2021 ameongoza kikao kazi cha wadau 28 kutoka katika taasisi na wadau wa sekta za uwekezaji na Uwezeshaji nchini.

Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Takwimu Dodoma ambacho kimeratibiwa na Baraza la Uwezeshaji wananchi kiuchumi.

Lengo la kikao hicho ni kufatilia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi wa CCM ya mwaka 2020-2025 ,(ibara ya 23-26) ambapo Baraza la Taifa la Uwezeshaji wananchi kiuchumi limepewa jukumu la kusimamia Uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa kusimamia mifuko na programm za Uwezeshaji takriban 61, wakati Chama cha Mapinduzi kikiahidi ajira million 8 katika kipindi cha miaka 5. (2020-2025)

#KaziIendelee#
#ChamaImara#


IMG-20210630-WA0080.jpeg
IMG-20210630-WA0083.jpeg
 
Hao wazee wanamsikiliza Shaka ndio mtoa mada?CCM wakati mwingine mnawachokoza wananchi wawaseme.
 
Back
Top Bottom