Vunjavunja
Member
- May 18, 2012
- 92
- 11
Jamaani serikali ya CCM muko wapi. Huku Mtwara- Tandahimba hali si nzuri wananchi waliowapenda wakawapa kura, leo hii wanalazimika kununua duma la maji sh 500 hadi 1000. Haya ndo maisha bora kwa wanamtwara?
TuwaelimisheEndeleeni kulalamika...
Mapato gani? Na ni kiasi gani kinaingia? Weka takwimu hapa sio unakurupuka kutoka usingizini unaleta porojo apaTandahimba ni moja ya wilaya inayoingizia Serikali mapato makubwa.
poleni sana.
Nyie si o bize na gongo, wake za watu, mahawara na kula ruzuku kwenda kununua majumba dubai?Kweli hawa jamaa wako buzy na Tembo nakuchukua Korosho zetu ila kutupa huduma za muhimu wanatusahau.
Kuna gari moja ilikuwa na ujumbe " umaskini wako ni kipimo cha akili yako"Jamaani serikali ya CCM muko wapi. Huku Mtwara- Tandahimba hali si nzuri wananchi waliowapenda wakawapa kura, leo hii wanalazimika kununua duma la maji sh 500 hadi 1000. Haya ndo maisha bora kwa wanamtwara?
Hapa unamlenga mjomba wako auWachangiaji wengine ni pasua kichwa,utafikiri co watz!shame on u,wew kuwa salama haimaanish na mwanao atakuwa hvyo!utaonaje wakat umevaa miwani ya mbao?stpd