Chwekamu
JF-Expert Member
- Nov 1, 2017
- 507
- 497
Jack Mengi ana cheo Gani?Akina mama wajane wote mnatakiwa kujisajili kwenye mfumo wa wajane, tayari mna Mwenyekiti wenu Vicky Kamata na Makamu mke wa marehemu Mrema. Kuna 4%(mkopo)wa Halmashauri zitaanza kutoka hivi karibuni.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app