CCM yaihenyesha CHADEMA Mitaani

CCM yaihenyesha CHADEMA Mitaani

Huchokagi kuandika ujinga kutwa kucha wewe kiumbe MZITO usiechukulika?
Ataishia kuandika mamba za Simu tuu, hivi hajui kuwa hata kama CCM wanajulikana kuwa Wana uwezo wa kiwango Cha chini katika IQ lakini sio punguani kwa kwa kiwango chake mleta mada
 
Kwa Sasa Chadema wamepaniki Ni hakuna mfano baada ya kuona watanzania hawana habari nao Wala kutaka hata kuwaona, Chadema wamebaki matapeli tu ,wanawakodi wa bajaji na bodaboda halafu wanakimbia bila kuwalipa

Kwa hiyo kama Watanzania Hawana habari nao Hawa ni Wakenya,? Onyesha hekima Yako ficha upumbavu wako ni msemo wa wahenga
 
Ndugu zangu watanzania,

Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika umeiipoteza na kuihenyesha chadema Mitaani.

Kwa Sasa Chadema haina ushawishi Wala kupata watu wa kuwasikiliza,kwa Sasa Chadema imebaki inatumia kiasi kikubwa Sana Cha pesa kuwalipa boda boda na waendesha bajaji ili waongoze misafara anapopita Mbowe na kupiga picha ili ionekane chama kipo mitaani ,maana wanajuwa hakuna wakufanya kazi hiyo kwa hiyari au kwa kujitolea Kama ambavyo vijana kwa wingi wao hujitolea kwa bashasha na furaha kuwalaki na kuwapokea viongozi wa CCm wafanyapo ziara katika maeneo yao kwa kutambua kuwa hao ndio watetezi wao na wenye majibu ya kero zao.

Sasa Chadema wamegeuka na kuwa matapeli kwa kuwadanganya vijana wanaojitafutia Riziki mitaani kwa kuendesha bajaji na bodaboda kwa kuwapa mabendera Yao kwa ahadi kuwa watalipwa malipo baada ya ziara za viongozi wao waliojikatia Tamaa na kupoteza matumaini kupita, chadema hawana huruma Wala aibu kuwatapeli vijana na kuwapotezea muda wao, Sasa Chadema wanatumia ulaghai kwa vijana waliojiajiri kubeba abiria mitaani.

Hii yote inatokana na CHADEMA kukosa Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania,hii yoye ni kutokana na kukosa dira na kupoteza muelekeo,Hii yote ni kutokana na kuwa na safu ya uongozi isiyoaminika kwa watanzania ndio sababu ya kupuuzwa na kuishia kukodi waendesha bajaji na bodaboda ili wawe mbele kuonyesha wanakubalika,Hii yote Ni kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya CCM katika kuwatumikia watanzania ,kugusa maisha Yao na kujibu kero zao.

Hii yote Ni kutokana na serikali ya CCM kuwa katika mioyo ya watanzania Baada ya utendaji kazi wake kuwaridhisha watanzania na kuwapa matumaini,Sasa Chadema inahenyeka na kuhangaika mitaani,Sasa Chadema inakodi na kusombelea watu utafikiri waenda minadani, Sasa Chadema inafanya matangazo kila eneo utafikiri matangazo ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu mitaani lakini mwisho inakosa watu na kuishia kukodi waendesha bajaji na bodaboda, Sasa Chadema imekata pumzi na ndio maana Lisu aliamua kukimbia nchi kukwepa aibu hii inayoikumba chadema kwa Sasa. Maana alishaona upepo wa kisiasa umebadilika na watanzania wameipuuza chadema na kuikumbatia CCM katika mioyo Yao.

Huo Ni mwanzo tu maana muda siyo mrefu viongozi wa chadema wataanza kurushiwa mawe na makopo machafu kwa kuwapotezea muda wao , wataanza kuzomewa mitaani Kama ambavyo Tumeona wakipingwa na watanzania wanapoisema vibaya serikali yao watanzania,Muda siyo mrefu chadema inakwenda kujifungia kabatini,

Mama yupo kazini na anafanya mambo kisayansi zaidi ndio maana Taifa linaendelea kuwa lenye utulivu na Amani huku kazi zikiendelea na kusonga mbele kwa Kasi ya upepo,Ni miradi kila eneo, Ni mafanikio kwa kila kitu, Ni matumaini kwa kila Jambo ,Ni kazi kila sehemu zinaendelea kutekelezwa na serikali ya CCM.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Huchokagi kuandika ujinga kutwa kucha wewe kiumbe MZITO usiechukulika

Kwa hiyo kama Watanzania Hawana habari nao Hawa ni Wakenya,? Onyesha hekima Yako ficha upumbavu wako ni msemo wa wahenga

Lipotezee punga lile
 
CCM yajenga nchi

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
KWA KWELI KIDUMU CHAMA CHA MAMBUZI
JamiiForums1208241630.jpg
 
Ndugu zangu watanzania,

Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika umeiipoteza na kuihenyesha chadema Mitaani.

Kwa Sasa Chadema haina ushawishi Wala kupata watu wa kuwasikiliza,kwa Sasa Chadema imebaki inatumia kiasi kikubwa Sana Cha pesa kuwalipa boda boda na waendesha bajaji ili waongoze misafara anapopita Mbowe na kupiga picha ili ionekane chama kipo mitaani ,maana wanajuwa hakuna wakufanya kazi hiyo kwa hiyari au kwa kujitolea Kama ambavyo vijana kwa wingi wao hujitolea kwa bashasha na furaha kuwalaki na kuwapokea viongozi wa CCm wafanyapo ziara katika maeneo yao kwa kutambua kuwa hao ndio watetezi wao na wenye majibu ya kero zao.

Sasa Chadema wamegeuka na kuwa matapeli kwa kuwadanganya vijana wanaojitafutia Riziki mitaani kwa kuendesha bajaji na bodaboda kwa kuwapa mabendera Yao kwa ahadi kuwa watalipwa malipo baada ya ziara za viongozi wao waliojikatia Tamaa na kupoteza matumaini kupita, chadema hawana huruma Wala aibu kuwatapeli vijana na kuwapotezea muda wao, Sasa Chadema wanatumia ulaghai kwa vijana waliojiajiri kubeba abiria mitaani.

Hii yote inatokana na CHADEMA kukosa Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania,hii yoye ni kutokana na kukosa dira na kupoteza muelekeo,Hii yote ni kutokana na kuwa na safu ya uongozi isiyoaminika kwa watanzania ndio sababu ya kupuuzwa na kuishia kukodi waendesha bajaji na bodaboda ili wawe mbele kuonyesha wanakubalika,Hii yote Ni kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya CCM katika kuwatumikia watanzania ,kugusa maisha Yao na kujibu kero zao.

Hii yote ni kutokana na serikali ya CCM kuwa katika mioyo ya watanzania Baada ya utendaji kazi wake kuwaridhisha watanzania na kuwapa matumaini,Sasa Chadema inahenyeka na kuhangaika mitaani,Sasa Chadema inakodi na kusombelea watu utafikiri waenda minadani, Sasa Chadema inafanya matangazo kila eneo utafikiri matangazo ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu mitaani lakini mwisho inakosa watu na kuishia kukodi waendesha bajaji na bodaboda, Sasa Chadema imekata pumzi na ndio maana Lisu aliamua kukimbia nchi kukwepa aibu hii inayoikumba chadema kwa Sasa. Maana alishaona upepo wa kisiasa umebadilika na watanzania wameipuuza chadema na kuikumbatia CCM katika mioyo Yao.

Huo Ni mwanzo tu maana muda siyo mrefu viongozi wa chadema wataanza kurushiwa mawe na makopo machafu kwa kuwapotezea muda wao, wataanza kuzomewa mitaani Kama ambavyo tumeona wakipingwa na watanzania wanapoisema vibaya serikali yao watanzania, Muda siyo mrefu chadema inakwenda kujifungia kabatini.

Mama yupo kazini na anafanya mambo kisayansi zaidi ndio maana Taifa linaendelea kuwa lenye utulivu na Amani huku kazi zikiendelea na kusonga mbele kwa Kasi ya upepo,Ni miradi kila eneo, Ni mafanikio kwa kila kitu, Ni matumaini kwa kila Jambo. Ni kazi kila sehemu zinaendelea kutekelezwa na serikali ya CCM.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
sawa subiri teuzi.
 
Mimi Ni mkulima na naandika na kuongea nachokifahamu tofauti na wewe unayeandika ukiwa umebabana kwenye daladala na hujawahi kwenda shambani, Tangia Rais Samia aingie madarakani mkulima anafaidika na jasho lake, kwa kuwa Bei ya mazao inakuwa Ni nzuri Tangia wakati wa mavuno,wakati awali Bei ya mazao ilikuwa inakuwa Ni mbaya na yahasara wakati wa mavuno
labda mkulima wa bange ndio maana unahaha kutwa kulamba watu miguu
 
Kwa hiyo bila Chadema angebweteka!! Basi tuiombee sana Chadema ili wananchi wahudumiwe.
 
Wananchi wanaendelea kupata huduma Bora kabisa kutoka kwa serikali ya CCM ,ndio maana wanaendelea kuiunga mkono serikali
 
Ndugu zangu watanzania,

Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika umeiipoteza na kuihenyesha chadema Mitaani.

Kwa Sasa Chadema haina ushawishi Wala kupata watu wa kuwasikiliza,kwa Sasa Chadema imebaki inatumia kiasi kikubwa Sana Cha pesa kuwalipa boda boda na waendesha bajaji ili waongoze misafara anapopita Mbowe na kupiga picha ili ionekane chama kipo mitaani ,maana wanajuwa hakuna wakufanya kazi hiyo kwa hiyari au kwa kujitolea Kama ambavyo vijana kwa wingi wao hujitolea kwa bashasha na furaha kuwalaki na kuwapokea viongozi wa CCm wafanyapo ziara katika maeneo yao kwa kutambua kuwa hao ndio watetezi wao na wenye majibu ya kero zao.

Sasa Chadema wamegeuka na kuwa matapeli kwa kuwadanganya vijana wanaojitafutia Riziki mitaani kwa kuendesha bajaji na bodaboda kwa kuwapa mabendera Yao kwa ahadi kuwa watalipwa malipo baada ya ziara za viongozi wao waliojikatia Tamaa na kupoteza matumaini kupita, chadema hawana huruma Wala aibu kuwatapeli vijana na kuwapotezea muda wao, Sasa Chadema wanatumia ulaghai kwa vijana waliojiajiri kubeba abiria mitaani.

Hii yote inatokana na CHADEMA kukosa Sera na ajenda zinazogusa maisha ya watanzania,hii yoye ni kutokana na kukosa dira na kupoteza muelekeo,Hii yote ni kutokana na kuwa na safu ya uongozi isiyoaminika kwa watanzania ndio sababu ya kupuuzwa na kuishia kukodi waendesha bajaji na bodaboda ili wawe mbele kuonyesha wanakubalika,Hii yote Ni kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na serikali ya CCM katika kuwatumikia watanzania ,kugusa maisha Yao na kujibu kero zao.

Hii yote ni kutokana na serikali ya CCM kuwa katika mioyo ya watanzania Baada ya utendaji kazi wake kuwaridhisha watanzania na kuwapa matumaini,Sasa Chadema inahenyeka na kuhangaika mitaani,Sasa Chadema inakodi na kusombelea watu utafikiri waenda minadani, Sasa Chadema inafanya matangazo kila eneo utafikiri matangazo ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindu pindu mitaani lakini mwisho inakosa watu na kuishia kukodi waendesha bajaji na bodaboda, Sasa Chadema imekata pumzi na ndio maana Lisu aliamua kukimbia nchi kukwepa aibu hii inayoikumba chadema kwa Sasa. Maana alishaona upepo wa kisiasa umebadilika na watanzania wameipuuza chadema na kuikumbatia CCM katika mioyo Yao.

Huo Ni mwanzo tu maana muda siyo mrefu viongozi wa chadema wataanza kurushiwa mawe na makopo machafu kwa kuwapotezea muda wao, wataanza kuzomewa mitaani Kama ambavyo tumeona wakipingwa na watanzania wanapoisema vibaya serikali yao watanzania, Muda siyo mrefu chadema inakwenda kujifungia kabatini.

Mama yupo kazini na anafanya mambo kisayansi zaidi ndio maana Taifa linaendelea kuwa lenye utulivu na Amani huku kazi zikiendelea na kusonga mbele kwa Kasi ya upepo,Ni miradi kila eneo, Ni mafanikio kwa kila kitu, Ni matumaini kwa kila Jambo. Ni kazi kila sehemu zinaendelea kutekelezwa na serikali ya CCM.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Nafasi za uteuzi zimejaa, pambana na jembe!
 
Back
Top Bottom