CCM yaihenyesha CHADEMA Mitaani

CCM yaihenyesha CHADEMA Mitaani

wananchi tunahenyeshwa sio mchezo leo kilo ya maharage ni 4500 tshs. wewe bila aibu unapost ujinga wako hapa na umeweka namba ya simu ili wakupongeze na teuzi sio.
 
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,Ndio chama Bora Barani Afrika na mfano wa kuigwa,Ndio chama kilicho na mfumo imara na madhubuti usiotegemea mtu binafsi...
Watakuja kukubishia🙄🙄
 
Hakuna chochote kama kilakukicha miladi yote inayokaguliwa ni ufisadi tu .
Hakuna atakaye bakia salama Wala kusalimika akibainika kugusa pesa za watanzania katika uongozi huu shupavu imara na madhubuti wa mh Rais wetu mpendwa na kipenzi Cha watanzania mama Samia suluhu Hassani mtetezi wa Afrika na sauti ya Afrika
 
Ndugu zangu watanzania,

Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika umeiipoteza na kuihenyesha chadema Mitaan...
Vumilia tuuu.. kutesa kwa zamu. Inawezekana miaka 8 iliyopita ulikua bado mtoto. Kwa hiyo ufahamu power ya cdm! Unadhan Kuna mtu anahongwa nauli mkutano wa CHADEMA. Nauli unajilipia na mchango unatoa!
 
Watakuja kukubishia🙄🙄
Kwa Sasa Chadema wamepaniki Ni hakuna mfano baada ya kuona watanzania hawana habari nao Wala kutaka hata kuwaona, Chadema wamebaki matapeli tu ,wanawakodi wa bajaji na bodaboda halafu wanakimbia bila kuwalipa
 
Vumilia tuuu.. kutesa kwa zamu. Inawezekana miaka 8 iliyopita ulikua bado mtoto. Kwa hiyo ufahamu power ya cdm! Unadhan Kuna mtu anahongwa nauli mkutano wa cdm. Nauli unajilipia na mchango unatoa!
Mimi naongea kwa uhakika kabisa kuwa vijana wa bodaboda na bajaji wanalalamika kutapeliwa hela zao baada ya kukodiwa ili wawapokee viongozi wa chadema
 
wananchi tunahenyeshwa sio mchezo leo kilo ya maharage ni 4500 tshs. wewe bila aibu unapost ujinga wako hapa na umeweka namba ya simu ili wakupongeze na teuzi sio.
Kilimo Ni biashara ,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya kuja mkombozi wao mama Samia suluhu Hassani kuwafuta machozi ,kutokana na kuteseka na kuhangaika kwa miaka mingi pasipo kunufaika na nguvu zao licha ya kuhangaika katika jua na mvua kwa msimu mzima
 
Huchokagi kuandika ujinga kutwa kucha wewe kiumbe MZITO usiechukulika?
Nitaachaje kuandika wakati chadema mmeanza kuwatapeli vijan mitaani baada ya kupuuzwa na watanzania sasa mnakodi wa bodaboda na bajaji wafunge bendera zenu kuonyesha mnakubalika, wakati kila mtanzania anaelewa namna mlivyokatalika mitaani Kutokana na ubabaishaji wenu na kuendesha chama kitapeli tapeli
 
Kilimo Ni biashara ,acha wakulima wafaidike na jasho lao baada ya kuja mkombozi wao mama Samia suluhu Hassani kuwafuta machozi ,kutokana na kuteseka na kuhangaika kwa miaka mingi pasipo kunufaika na nguvu zao licha ya kuhangaika katika jua na mvua kwa msimu mzima
tumia akili kufikiri wewe wanaofaidika walanguzi na sio wakulima
 
Kwa Sasa Chadema wamepaniki Ni hakuna mfano baada ya kuona watanzania hawana habari nao Wala kutaka hata kuwaona, Chadema wamebaki matapeli tu ,wanawakodi wa bajaji na bodaboda halafu wanakimbia bila kuwalipa
Wewe utakua mmoja wawatu mnaokula nyuma ya Mama maana mwenyewe analalamika ufisadi halafu wewe eti maendeleo kwa kasi.
 
Wewe utakua mmoja wawatu mnaokula nyuma ya Mama maana mwenyewe analalamika ufisadi halafu wewe eti maendeleo kwa kasi.
Serikali ya Rais wetu mama samia inaendelea kuyashughulikia Mafisadi mpaka iyamalize
 
Ndugu zangu watanzania,

Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika umeiipoteza na kuihenyesha chadema Mitaani...
Hizi NOTES ungewaandikia Wanao zingewafaa sana Wakati mwingine jaribu kutumia AKILI
 
tumia akili kufikiri wewe wanaofaidika walanguzi na sio wakulima
tumia akili kufikiri wewe wanaofaidika walanguzi na sio wakulima
Mimi Ni mkulima na naandika na kuongea nachokifahamu tofauti na wewe unayeandika ukiwa umebabana kwenye daladala na hujawahi kwenda shambani, Tangia Rais Samia aingie madarakani mkulima anafaidika na jasho lake, kwa kuwa Bei ya mazao inakuwa Ni nzuri Tangia wakati wa mavuno,wakati awali Bei ya mazao ilikuwa inakuwa Ni mbaya na yahasara wakati wa mavuno
 
Ndugu zangu watanzania,

Utendaji kazi uliotukuka wa serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia Ambaye ndiye kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika kwa Sasa na ambaye anachukuliwa Kama mtetezi na sauti ya Afrika umeiipoteza na kuihenyesha chadema Mitaani...
Nimesoma kichwa cha habari na faster nika scroll down kuangalia kama umeweka kanamba kako🤣🤣🤣🤣

Ok ujumbe tumeupata, sasa subili TEUZI
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Sasa mbona unatukana, Au hasira za kuona mnapuuzwa na watanzania Ndio unazileta kwangu, Kwani Mimi ndio niliwakodi waendesha bajaji na bodaboda ambao mmekuwa mnawazulumu kila mnapopita? Mtawazulumu Hadi lini? Je hamtarudi Tena kwao? Au ndio mnakwenda kujifungia jumla kabatini pale ufipa kilinge cha kutafunia Ruzuku?
Nani aliwatapeli??polisi si ipo?? jeshi,mahakama vyote vya ccm,wameshindwa kuwakamata matapeli??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nani aliwatapeli??polisi si ipo?? jeshi,mahakama vyote vya ccm,wameshindwa kuwakamata matapeli??[emoji1787][emoji1787][emo
Nani aliwatapeli??polisi si ipo?? jeshi,mahakama vyote vya ccm,wameshindwa kuwakamata matapeli??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Vijana wameanza taratibu za kupeleka malalamiko yao polisi kuhusiana na utapeli uliofanywa na chadema kuwadhulimu na kuwatapeli,Ndio maana umeona huko sumbawanga wameandamana kudai haki zao
 
Back
Top Bottom