Kaka kwa muda huu hakuna atakayekusikiliza na vipropaganda vyako feki. Tunahitaji mutatue kero zetu nyie maccm sio mnaleta mambo ya umbea hapa. Tumechoka na umbea wenu.
Yaani mtu mzima umekaa kabisa unaleta upuuzi huu huku unajua nini kinaendelea? Huu sio mpango sepa bana.
Wewe mwenyewe ni kero. Tutakutatuwa tu.
Huyu jamaa amebanwa anatafuta mahali pa kupunguzia mavi
Kaka siasa haina rika. Usijione upo lichama lako ulilopewa cheo kwa ajili ya ushemeji. Mi ni kijana mwenye fikra sio fikra kama zako za kimagamba.Wewe mbona umesikiliza na hata kujibu? Waachie na wengine "wasikilize" basi... Matatizo ya kudandia siasa ukubwani!
Join Date : 25th November 2012
Posts : 20
Rep Power : 315
Likes Received0
Likes Given0
Bado haujitambui kama huna hoja zinazoguza watu humu JF tangu umejiunga hakuna anayekupa like, anzisha ID nyingine uwe unajipa Like mwenyewe angalau ujifariji kwa ujinga ulionao.
Kaka kwa muda huu hakuna atakayekusikiliza na vipropaganda vyako feki. Tunahitaji mutatue kero zetu nyie maccm sio mnaleta mambo ya umbea hapa. Tumechoka na umbea wenu.
Yaani mtu mzima umekaa kabisa unaleta upuuzi huu huku unajua nini kinaendelea? Huu sio mpango sepa bana.
mbona wa CCM wakihamia CDM mnasema so huo ni upumbavu nao?? Me sipend jitu linaloona jema linatoka kwake hili ni jukwaa la siasa so chadema kuhamia CCm lazima watuabalishe kama mm nlkuwa sijui acha chuki,"wanasiasa wanasababisha sisi tunauwana wenyewe kwa wenyewe familia zao kwao ziko salama si tunauwana wenyewe" usijenge chuki hata huyu Dr. Slaa anapiga kelele na kuisema CCM kisha anakaa meza moja na JK anakula na kucheka ww unajenga chuki imekula kwako
Kumbe cdm ina wanachama wengi hv? Maana hao nadhani ni 1/100 kwa eneo husika. Peoples power
Kuna post hapa nilimuona Mhe Kinana akigawa fedha live bila wasi wasi rushwa hadharani sera za CCM haya endeleeni!!!!!Wanachama 270 wa CHADEMA Singida wameenda CCM kupinga sera ya CHADEMA kuwazuia kuchangia miradi ya maendeleo.
source : RFA leo saa 12:30 am