Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 224
Na Mwanadishi Wetu,Arumeru
Katika kampeni za uchaguzi wa mdogo jimboni Arumeru Mashariki,
imebainika kuwa tabia ya chama cha mapinduzi (CCM) YA KUUZA
NA KUNUNUA UONGOZI ,imevuka mipaka.
Safari hii imeingia mahala patakatifu pa watakatifu.
"Ofisa huyo anadaiwa kutoa Sh 20,000 kwa kila mchungaji aliyekuwa
kwenye huo mkutano"
"Aidha,viongozi saba na wachungaji hao walilipwa kiasi cha Sh 100,000
kila mmoja kama Nauli katika mkutano ambao haukuandaliwa na CCM"
source:Gazeti MWANAHALISI
Na Mwanadishi Wetu,Arumeru
Katika kampeni za uchaguzi wa mdogo jimboni Arumeru Mashariki,
imebainika kuwa tabia ya chama cha mapinduzi (CCM) YA KUUZA
NA KUNUNUA UONGOZI ,imevuka mipaka.
Safari hii imeingia mahala patakatifu pa watakatifu.
"Ofisa huyo anadaiwa kutoa Sh 20,000 kwa kila mchungaji aliyekuwa
kwenye huo mkutano"
"Aidha,viongozi saba na wachungaji hao walilipwa kiasi cha Sh 100,000
kila mmoja kama Nauli katika mkutano ambao haukuandaliwa na CCM"
source:Gazeti MWANAHALISI
Kumbe maaskofu nao huwa wanakula rushwa???? Sasa huwa wanawafundisha nini huko makanisani???????
Kumbe source ni Said Kubenea? tuletee source zisizo na mrengo, wengine humu JF hatuna vyama.
Kweli ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano lakini si kwa Maaskofu wa Arumeru kuona ufalme wa mbingu Askofu mwenye kola aliyeenda shule vya kutosha na kula viapo vya kila aina leo anakuwa bwabwa la CCM kuhongwa jumla ya shillingi 20,000 ambayo hata suruali ya maana hata pata
Maaskofu Arumeru acheni hizo munajidhalilisha,tuwaulize munafuata nini kwenye mikutano inayoandaliwa na CCM au hata na wapenzi wa CCM ili kufanya dhuluma,ole wenu mukidhurumu haki nyie
Ni nalo Gazeti hapa nimesoma taarifa ila natahadharisha huyo askofu na wengine walioko arumeru wa kilutheri kama yuko mmoja vizuri kama wako wengi tunawaasa watende haki wasimamie haki wakemee vitendo vyote vya rushwa ,wasijidhalilishe kwa kubeba chama cha magamba,waache dhambi ya tamaa kwa kupokea sh 20,000 hadhi yao ya kichungaji ni kubwa kuliko wao kujiingiza katika chaguziusiwe mwepesi kuchangia kama hujasoma habari vizuri wala huna enough data!kwani arumeru kuna maaskofu wangapi?waliotajwa ni wangapi?sometimes pita tu kwenye hizi thread especially zinazohusu watumishi wa Mungu.
Na tuhuna zote za ufisadi zilizokuwa zikiandikwa na hili gazeti ni za uongo basi! Otherwise mna double standards!Ukiona source ni Said Kubenea ujue uongo mtupu, Si juzi tu hapa Mkuu wa Maaskofu amemshambulia Wasira pale SLAA alipogushwa kidogo tu? inawezekana kweli hata mwezi bado, kondoo wake waingie mtegoni? Kubenea jamani hata kama ni mzuri wa kupiga majungu si usome alama za nyakati kwanza? au tindikali imepunguza uwezo wa kutafakari kabla ya kuamua kutenda?
Hakika ufalme wa Mungu kuupata ni kazi ngumu sana.
Na tuhuna zote za ufisadi zilizokuwa zikiandikwa na hili gazeti ni za uongo basi! Otherwise mna double standards!
Ukiona source ni Said Kubenea ujue uongo mtupu, Si juzi tu hapa Mkuu wa Maaskofu amemshambulia Wasira pale SLAA alipogushwa kidogo tu? inawezekana kweli hata mwezi bado, kondoo wake waingie mtegoni? Kubenea jamani hata kama ni mzuri wa kupiga majungu si usome alama za nyakati kwanza? au tindikali imepunguza uwezo wa kutafakari kabla ya kuamua kutenda?
Hakika ufalme wa Mungu kuupata ni kazi ngumu sana.