CCM yahoji msimamo wa Chadema kuhusu ushoga

..kwa uelewa wangu hawa Conservative r not as pro gay rights kama Labour Party.

..hata kwa Marekani, Democrats ambacho ni chama tawala ni more pro gay rights kuliko Republicans.

..mambo ya ushoga ni utamaduni wa nchi za Ulaya na Marekani.

..Ushoga uko kila mahali ktk nchi hizo tena waziwazi, hata ktk nafasi za uongozi serikalini.

..kwa kweli CCM wameishiwa kabisa. Hawana hoja wala sera, sasa wamebaki na propaganda za kitoto.

NB:

..Jeshi la Marekani linaruhusu ushoga, je kwanini JK hajavunja uhusiano wa kijeshi na Marekani?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
..kwanini CCM wameruhusu jeshi letu, JWTZ, kuwa na mahusiano ya "kimafunzo" na jeshi la Marekani ambalo linaruhusu USHOGA?

..CCM waanze kumhoji Mwenyekiti wao, ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu, kwa kuanzisha mahusiano hayo.

..je, jeshi la Marekani linawafundisha nini wanajeshi wetu??
 
CHADEMA haina haja ya kuelezea uhusiano wake na Conservatives ya UK. Jambo la msingi ni kwamba sera ya CHAEMA ni kuwa na uchumi usiotegemea fedha za wahisani, kwa hiyo chini ya uongozi wa CHADEMA hakutakuwa na haja ya kushinikizwa na nchi wahisani ili kupata fedha ya misaada. CCM na serikali yake wanaendekeza sana sera ya omba-omba ambayo inasababisha nchi yetu kudhalilishwa na kulazimishwa kukubali ushoga. Hili ni zigo la CCM na uvivu wao wa kubuni mipango endelevu.
 
Back
Top Bottom