CCM yahairisha mkutano wake wa Jangwani

CCM yahairisha mkutano wake wa Jangwani

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,205
Habari zilizonifikia ivi punde ni kwamba CCM imeamua kuairisha mkutano wake wa kesho Jangwani hadi apo utakapo tangazwa tena..

Souce..TBC taifa
 
dunia duara. Mungu atuhekimishe sote
 
Hongera JK, yawezekana amewagomea kwenda jangwani kuzungumzia upuuuzi wa kima Bulembo, by the way, CCM ni chama tawala hili suala la kwenda kujibu mapigo kwa kila kinachofanywa na upinzani ni kuishiwa namna ya kufikiri, tekelezeni sera haya mengine waachieni wasio madarakani, CCM tutawatambua kwa matendo yenu na upinzani kwa maneno yao
 
Kwi kwi kwi kwi!!!! Dah!!!! Kukurupuka kubaya sana!!!! Kweli mfa maji........Chezeya nguvu ya umma weye!!!!
 
Si kuna mpuzi mmoja anajiita simiyu kasema mwenyekiti wao j.k atakuwepo? au kwasababu hawana mvuto wa kuinfluence watu walitaka wasafirie jina la jk?
 
Kwanza jinsi wabunge wa ccm walivyokua vilaza,nina uhakika yale sio mawazo yao wenyewe ni maoni ya baadhi tu ya walafi wasioitakiaa nchi mema ndo mana JK akastuka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
aiseeeee babayangu mleta mada hawajatoa sababu hasa kwanini wamehairisha au wamekosa mgeni rasmi
 
hahahah chezea jakaya wewe amewaruka kima cha mbuzi haya xaxa mzee wa gombe cjui yuko wap xaxa
 
aiseeeee babayangu mleta mada hawajatoa sababu hasa kwanini wamehairisha au wamekosa mgeni rasmi

souce ni TBC taifa na hawajasema sababu bali wamesema hadi itakapotangazwa tena
 
Inabidi nicheke tu sina jinsi,haaaaahaaaahaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ndoa nomaaaa, CCM hawana watu wenye akili kuwatosha magwiji wahoja walifunga ndoa maana LISU peke yake bado Wabunge wote wa CCM hawamtoshi sasa ukiongeza MBATIA NA PROF. LIPUMBA sindio balaa. CCM achen ukurupukaji
 
hawana jimpya wanajua baba yao amewaruka kwa kusudio lao la kuharibu mchakato wa katiba kutaka ya chama chao ndio katiba ya wantanzani wote ccm ni upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom