CCM yahairisha mkutano wake wa Jangwani

CCM yahairisha mkutano wake wa Jangwani

mafala hao,, they have found themselves with less reasonable reasons 2 speak 2 the majority. let them 2 the hell..
 
attachment.php
 
Inabidi nicheke tu sina jinsi,haaaaahaaaahaaaaaaaaaaaaaaa

nadhani hawana nauli za kuwapeleka watu uwanjani hata hivyo maandalizi ni duni, yamkini hata watu wa kupanda jukwani wamegoma

hiki chama ndiyo kwa heri
No longer kitarest in peace !
 
Bajeti ya kusomba watu kwa malori imekatika kidogo! Wanajipanga upya!
 
Yawezekana zile spika za Gwajima wanazotumiaga safari hii kawabania, si unajua tena jamaa ana mkutano kule Arusha??
 
..............Walishaambiwa na mwenyekiti wao wajiandae kisaikolojia kwaajili ya mabadiliko lakini wameshasahau!
 
Moto moto motoooooo, CHOMA MACCM. Balembo atafute pa kuongelea. ngoma imegoma mazima.
 
kwa taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa nauli kuwapeleka watu jangwani na maroli hipo ila ya kurudia hakuna wanogopa kama yale yaliyotokea mkoa wa mara hivi karibuni
 
Mnhhh...Simiyu na wenzie kimyaaaaaa....! Hata hivyo wameonja hasara kidogo....matangazo ya kukaribisha watu na yale ya kuhairisha kupitia itv.
 
Hongera JK, yawezekana amewagomea kwenda jangwani kuzungumzia upuuuzi wa kima Bulembo, by the way, CCM ni chama tawala hili suala la kwenda kujibu mapigo kwa kila kinachofanywa na upinzani ni kuishiwa namna ya kufikiri, tekelezeni sera haya mengine waachieni wasio madarakani, CCM tutawatambua kwa matendo yenu na upinzani kwa maneno yao
Upo sawa mkuu,sisi tunahitaji umeme,maji ,mikopo, hospitali za kutosha walimu wa kutosha mashuleni.Hivi vyote hatuhitaji kuambiwa tunahitaji kuviona.Hivyo haina haja ya kutumia nguvu nyingi kuongea bila utekelezaji.
 
Kwa hyo hata mzee wa upako hatakuwepo tena? Maana kuna tetesi kuwa ilipangwa na yeye aje kwa style kama ile ya rev kakobe?

Nways yote kheri, maana mwenye nyumba kishaamua tena, wapangaji wataganyaje?
 
....

.....Taarifa zilizotufikia hivi punde!!!

.....ubwabwa umeota mbawa!!!!!!
 
Rais hajarudisha muswaada Bungeni. Alichosema ni kwamba ikawa hapo marekebisho yafuate utaratibu. Huko siyo kurudisha muswaada bungeni. Tatizo walilo nalo Watu wengi ni kutokujua kanuni na za Bunge na katiba ya nchi.
 
Madreva wa malori yanayotumika kusomba watu kwenye mikutano ya maccm watakuwa kwenye mgomo wa kudai fedha zao kwa kazi walizokuwa wakizifanya kwa kusomba miccm toka maeneo mbalimba li hapo jijini.
 
Sailor 1 hata rais akirudisha bungeni hao jamaa watakua in trouble maana hawakutaka kuujadili na hawautaki sasa mtihani uko kwao

JK keshawatundika na kwa mtazamo wangu ni kwamba majibu yote amemaliza Rais wewe utakaeenda jangwani utaongea nini? Lazima busara itumike si kwenda tu just kucheza na akili au hisia za watu. Hivyo CCM imetenda busara kubwa.
 
Back
Top Bottom