Rais hajarudisha muswaada Bungeni. Alichosema ni kwamba ikawa hapo marekebisho yafuate utaratibu. Huko siyo kurudisha muswaada bungeni. Tatizo walilo nalo Watu wengi ni kutokujua kanuni na za Bunge na katiba ya nchi.
Tambua Rais Kikwete ametumia lugha ya kidiplomasia ili kupunguza ukali wa maneno kwa wasaidizi wake na wabunge wa chama chake waliochemka kwa kukosa busara!
Katika nchi zilizoendelea,wote waliosimamia mchakato huu toka serikalini wangejiuzulu nafasi zao,kumwezesha rais ateue washauri wapya!