CCM yagawanyika

CCM yagawanyika

"Kuna Karne itafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi” Shaaban Robert
"Never underestimate the power of fools in large numbers. They can elect one of their own to rule".
 
Tulia Makonda afanye kazi,tena anatakiwa apewe nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM kabisa.Wazee gani unaowazungumzia,vijana unganeni na Makonda CCM itoke mikononi mwa Wazee wezi ambao wamejimilikisha nchi.
Bora ata Makonda kapanda roli,Rais Ruto alipanda torori na sasa ni Rais,usipende starehe sana Mjomba wapiga kura hawatembelei V8,wanatumia sana usafiri ambao Makonda anautumia kuwa nao karibu.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Ccm nan asiyekuwa mwizi? Tena ingawa wizi aina yoyote ni wizi, nafuu mwizi wa kalamu kuliko jambazi anayeweza kutoa uhai wa binadamu
 
Kuna mtu analazimisha watu waishi maisha ya msimu ambao tayari umeshapita, inafikia hatua mpaka analazimisha kupata baraka kutoka kwa MFU! Natamani kumjua baba wa kiroho wa huyu mtu.
Masanja na alikuwa kiongozi wa Sifa na kuabudu pale Feel Free Church
 
Back
Top Bottom