Piga chini hawa CCM wanadai wameleta maendeleo kuna maendeleo gani Musoma?hakuna ata kiwanda kimoja kinachofanya kazi anaglia Mutex imebaki magofu tu pale na mkoa wa Mara, ni miongoni mwa mikoa inayozalisha zao la Pamba kwa wingi, angalia Viwanda vya Samaki vyote viko taabani sababu ya Uvuvi haramu hii yote ni CCM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.