CCM yafutika rasmi Mara

CCM yafutika rasmi Mara

Asante kwa taarifa nzuri sana mkuu............. hata hivyo nina mashaka kwamba hao wahudhuriaji 60 ukute siyo wenyeji wa mara, labda wamefika kwa basi tu
 
---- ccm yani ndo mwisho wenu,na mkichukua tena madaraka am ready to kill oll of you,----ing bitches
 
Mkuu kumbuka Mwakalebela anamnyemelea Msigwa kimyakimya!! Ogopa mtu anayekunyemelea kimyakimya!!

Mwakalebela sio tishio tena Iringa Mjini! Hata ndani ya chama chao wameshamdisQUALIFY! He is no LONGER a THREAT! IN & OUT!
 
Kama unachukia vaa miwani usione gere.Chadema hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Mkutano wa CCM uliofanyika leo kata ya Kigera jimbo la Musoma Mjini,CCM wamejikuta wakiambulia patupu kwa kupata idadi ya watu wasiozidi 60 mbali na kwamba kila mtu aliyekuwa anaudhuria mkutano huo alilipwa elfu kumi.

Baada ya mkutano kuanza na Mathayo kupanda jukwaani kuanza kuhutubia watu walimzomea na mkutano ukasimama kwa muda.

Hii ni ishara tosha inayoonesha anguko la CCM na kama watakuwa bado hawajaelewa basi watakuwa ni sikio la kufa.

Inataka moyo kwani watu 60 kuhudhuri kwenye kikao cha ccm ni aibu na fedheha,ANGALIENI WANA CCM muda ndo huu wa kukaza mwendo.......
 
Mkuu kumbuka Mwakalebela anamnyemelea Msigwa kimyakimya!! Ogopa mtu anayekunyemelea kimyakimya!!
Wapinzani ktk CCM na tabia za CCM zinatosha sana mweka mwakalabela busy hadi baada ya 2015.
 
Tatizo upotoshaji,matusi na vitisho, uongo, umbea na rushwa, chama kimekufa kabisa musoma mjini maskini, na mikoa mingine wapige huo mfano
 
Akili za viongozi wa ccm zimeishia hapo,hawawezi tena kufikiri,hawana hoja za kuwashawishi watu,hawana maono ya kuwaongoza wananchi.Kwa ulimwengu wa sasa ni bora utawaliwe na jiwe kuliko kutawaliwa na ccm
 
Katibu mzima Wa wilaya anasema Rais Haji Mara kwa kuwa hamkumpa kura,kweli ccm imekosa wazungumzaji
 
Katibu mzima Wa wilaya anasema Rais Haji Mara kwa kuwa hamkumpa kura,kweli ccm imekosa wazungumzaji
,kwanza nikiri kikwete ameshusha hadhi ya uraisi itafikia kipindi hata jiwe litataka uraisi.
Sisi hatumuhitaji raisi mbunge wetu Nyerere anatutosha na kama raisi anataka kupima ubavu aje ajionee mwenyewe
 
Katibu mzima Wa wilaya anasema Rais Haji Mara kwa kuwa hamkumpa kura,kweli ccm imekosa wazungumzaji

Hii ni hoja ambayo ilijadiliwa na viongozi wa ccm wa wilaya na mkoa kwa wiki nzima ili waje kuwahutubia wananchi,ukiangali kwa akili ya haraka haraka utaona viongozi wa ccm hawana akili badala ya kuwaeleza wananchi tangu ccm ilipoongoza serikali ahadi yao ya maisha bora kwa kila mtanzania imepotelewa wapi?wao ni matusi tu.Na kiuhalisia ni kweli kabisa raisi alipata kura chache sana musoma mjini na akiendelea kuangalia hali ya chama chake katika jimbo hili iko dhahiri kabisa hawezi kuja maana ataambuliwa kuzomewa kama wenzake wanavyozomewa na wengine kupigwa mawe kama Bulembo
 
Shida ya Wana Mara sio sura au ujio Wa Rais, ni maendeleo na elimu bora,afya bora, maisha bora na ongezeko La kipato
 
Back
Top Bottom