CCM yafutika rasmi Mara

CCM yafutika rasmi Mara

otorokoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
2,437
Reaction score
154
Mkutano wa CCM uliofanyika leo kata ya Kigera jimbo la Musoma Mjini,CCM wamejikuta wakiambulia patupu kwa kupata idadi ya watu wasiozidi 60 mbali na kwamba kila mtu aliyekuwa anaudhuria mkutano huo alilipwa elfu kumi.

Baada ya mkutano kuanza na Mathayo kupanda jukwaani kuanza kuhutubia watu walimzomea na mkutano ukasimama kwa muda.

Hii ni ishara tosha inayoonesha anguko la CCM na kama watakuwa bado hawajaelewa basi watakuwa ni sikio la kufa.
 
We ni muongo hzo picha ni za mkutano wa iringo na hzo nyumba ni za custom...shame upon you
 
Kinachowaumiza ni maguo yao ya rangi ya kijani ,wanaonekana idadi yao hata ukiwa mita mia tano utawahesabu na kujua hamna kitu ,kwa ufupi asievaa guo la kijani sio mwenzao,ndivyo wanavyojiweka.
 
Kinachowaumiza ni maguo yao ya rangi ya kijani ,wanaonekana idadi yao hata ukiwa mita mia tano utawahesabu na kujua hamna kitu ,kwa ufupi asievaa guo la kijani sio mwenzao,ndivyo wanavyojiweka.
Kuna jamaa Ana hela ya pamba, watoto Wa mjini wanamkomba ki noma kwa kushinikiza Mikutano, kila anaehudhuria analipwa posho
 
kwa kweli wamekosa sera wamebaki ni.mtusi ccm ndo mwisho wao musoma mjini
 
Ccm byebye! huu pia ni mkutano wa Msigwa iringa
 

Attachments

  • 1409420592126.jpg
    1409420592126.jpg
    140.1 KB · Views: 471
  • 1409420662482.jpg
    1409420662482.jpg
    89.8 KB · Views: 399
  • 1409420746586.jpg
    1409420746586.jpg
    98.6 KB · Views: 392
We ni muongo hzo picha ni za mkutano wa iringo na hzo nyumba ni za custom...shame upon you

Weka zako za mkutano wa leo basi kama hizo ni feki au wewe ndo unaishi peke yako Musoma.
 
Waanze kukabidhi majengo ya sirikali kwa vyama vinavyokubalika!!!
 
Haa haa muda c mrefu wataanza kununua watu na kuwasomba kwa malori!

Kifo cha magamba ni pale watu wengi watakapojitokeza kujiandikisha na kupiga kura! Wao wanategemea kura za kununua tu! Nadhani 2015 hata bei ya kura moja inaweza kupanda hata kufika laki moja watu wamekuwa wajanja zaidi! Hawatakubali wapiga kura wawe wengi maana itakuwa ngumu kushinda kwa kura za kununua!

Wapinzani inabidi wawe makini sana mwakani maana kutakuwa na mizengwe ya kufa mtu na kama watu hawatashutukia wengi sana hawataruhusiwa hata kujiandikisha! Hata kwenye vitambulisho vya uraia tayari inachezwa michezo michafu sijui kunaagenda gani nyuma ya pazia kuhusiana na hvi vitambulisho na uchaguzi! Ngonja tuone ujanja wao utafika wapi, ila 2015 watu hawatafanya makosa!
 
Back
Top Bottom