punguza nadharia zisizotekelezeka,barabara ya mwendo kasi ni mtandao wa mabarabara vijijini?treni dar za mwakyembe, je,treni za reli ya kati inafanya kazi ipasavyo kwa kubeba, abiria wengi na mizigo mingi?trekta mpaka vijijini, bei ya kulimiwa kwa ekari moja bei gani ukiliganisha na pato la mwaka la mkulima wa kawaida ?na kama tungejitosheleza kwa chakula , kwann wanazuoni wauchumi kila mara wamekuwa wakitaja chanzo cha mfumko wa bei ni upungufu wa chakula.na hiyo amani bila haki ipo wapi?
1. Hiyo ni kwa dar tu maana moshi sijawahi ona treni tangu mwaka 1995 na reli zimeshaanza kung'olea na kuuzwa kama chuma chakavu.
2. serikali inaipendelea dar tu, kwani mikoa mingine haihitaji maendeleo?
3. mikataba ya madini ndiyo hiyo ya kumruhusu muwekezaji kujenga kiwanja cha ndege mgodini? na kumruhusu kumuua mtanzania yeyote atakayepita karibu na mgodi?
5. powertiler nayo trector? moshi vijijini sijawahi kuziona labda za watu binafsi.
6. Ulizia mtwara njaa mpaka wakaanza kula ile miogo ya porini kumbe ni sumu baadhi yao wakafa.
7. amani gani! kichwa cha mwendawazimu, jeshi la polisi limeua watu wa ngapi wasio na hatia?
8. "vita nzuani" ina maana gani?
9. wahitimu wana ajira gani? na wanapoamua kujiajiri kwa kuwa machinga, mnawanyanyasa kwa kuwapiga, kuwafukuza na kuwanyang'anya mali zao.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
CCM wanachekesha eti oh mwaka kesho ni mwaka wa kazi je ni ahadingap hawajatimiza tangu 2005 Liko wapi daraja la kigamboni yako wap yale maji ya AYUMEYU UWANJA WA TAIFA BADO HAUJAKAMIKA uko wapi umeme wa uhakika walioahidi liko wapi daraja la KILOMBERO,kiko wapi kile chumba cha kuhifadhia maiti pale ULANGA C mliahidi?YAKO WAPI YALE MAISHA BORA KWA KILA MTZ. mngesema mwaka kesho ahadi zote mlizoahidi mtatimiza bila kubakiza hata moja ikiwa ni pamoja na zile MELI ZA YALE MAENEO C MNAJUA NI WAPI.
Mkuu huyo mungu ameandikishwa ndio maana nafasi za kuandikisha vijana ambao ndio nguvu ya CDM HAWAJAPATA NAFASI. Na pia Youwasa amewaambia mashamba yapo tele kule Handeni
Ingekuwa poa kama wangetufafanulia kati ya KUSAFISHA CHAMA NA KUTANGAZA MWAKA WA KAZI LIPI LITATANGULIA KWANI MSHIKA MA2 MOJA HUMPONYOKA. wasiwasi wangu kazi ya kuvua gamba imewashinda bado wanaongeza kazi kama wanashindwa kazi za chama je za sirikali wataweza
CCM hamhitaji kutueleza kile mlichokifanya kwa sababu watanzania wa siku hizi si wale wa mwaka 47,wana macho ya kuona mnachokifanya,wana masikio wanasikia kile mnachohubiri majukwaani,Lakini la zaidi wanaona na kusikia jinsi mnavojineemesha na utajiri wa nchi hii,wanaona jinsi mnavyofanya kila aina ya mbinu kuulinda ufisadi na jinsi mnavyowaridhisha watoto wenu kuwa mafisadi wa leo na kesho.Mnajua kuwa mko madarakani kwa sababu ya kuchakachua kura za Rais.Dawa yenu iko jikoni inachemka na matokeo yake mtayaona mwaka 2015
1. Hiyo ni kwa dar tu maana moshi sijawahi ona treni tangu mwaka 1995 na reli zimeshaanza kung'olea na kuuzwa kama chuma chakavu.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha
3. mikataba ya madini ndiyo hiyo ya kumruhusu muwekezaji kujenga kiwanja cha ndege mgodini? na kumruhusu kumuua mtanzania yeyote atakayepita karibu na mgodi?
5. powertiler nayo trector? moshi vijijini sijawahi kuziona labda za watu binafsi.
6. Ulizia mtwara njaa mpaka wakaanza kula ile miogo ya porini kumbe ni sumu baadhi yao wakafa.
7. amani gani! kichwa cha mwendawazimu, jeshi la polisi limeua watu wa ngapi wasio na hatia?
8. "vita nzuani" ina maana gani?
9. wahitimu wana ajira gani? na wanapoamua kujiajiri kwa kuwa machinga, mnawanyanyasa kwa kuwapiga, kuwafukuza na kuwanyang'anya mali zao.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
SWALI NUMBER 6.
Jibu.
[h=1]KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA ATEMBELEA RUKWA NA KATAVI[/h] by John Bukuku on October 19, 2012 in JAMII with No comments
(NA JOEL MWAKABUNGU FULLSHANGWE-SUMBAWANGA)
Katibu mkuu wa Wizara ya ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Bw.Job Masami alitembelea mikoa ya Katavi na Rukwa kwa
ajili ya kutembelea na kukagua maendeleo ya shughuli ya uhamishaji wa shehena ya mahindi kutoka mjini Sumbawanga
mkoani Rukwa na kupelekwa mjini Mpanda mkoani Katavi, shughuli inayofanywa na malori yanayomilikiwa na Jeshi la
Wananchi wa Tanzania JWTZ.
Alielezwa kuwa hadi sasa zaidi ya tani 11,600 za mahindi zimeshahamishwa kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda kwa ajili
ya kusafirishwa kupelekwa kwenye Kituo cha Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa NFRA cha mkoani Shinyanga, na kwamba
ni jumla ya tani 20,000 za mahindi ndizo zinazotakiwa kuhamishwa kutoka Sumbawanga kwenda Shinyanga kwa ajili ya kukabiliana
na suala zima la njaa kwenye maeneo hayo ya kanda ya ziwa.
Alipata fursa vile vile kuongea na makamanda wa Jeshi hilo la ulinzi zmbalo lina malori 65 hadi sasa mkoani Rukwa na Katavi
yanayohamisha mahindi hayo, na kwamba wana mpango wa kuongeza malori mengine 50 ili kuharakisha uhamishaji wa
shehena hiyo ya mahindi, wakilenga kuukimbia msimu wa mvua unaokaribia kuanza, kwani mara kwa mara mvua zinachangia
kuharibu miundo mbinu.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
Acha kuweka pesa zako VIKOBA weka MKOMBOZI BENKI AU AMANA.

aRUSHA KUWA JIJI. mBEYA KUFUNGULIWA KIWANDA CHA bia . Kila Mkoa kuwa na uwanja wa ndege.
Nchi nzima barabara kuu zina LAMI
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha
CCM wanachekesha eti oh mwaka kesho ni mwaka wa kazi je ni ahadingap hawajatimiza tangu 2005 Liko wapi daraja la kigamboni yako wap yale maji ya AYUMEYU UWANJA WA TAIFA BADO HAUJAKAMIKA uko wapi umeme wa uhakika walioahidi liko wapi daraja la KILOMBERO,kiko wapi kile chumba cha kuhifadhia maiti pale ULANGA C mliahidi?YAKO WAPI YALE MAISHA BORA KWA KILA MTZ. mngesema mwaka kesho ahadi zote mlizoahidi mtatimiza bila kubakiza hata moja ikiwa ni pamoja na zile MELI ZA YALE MAENEO C MNAJUA NI WAPI.
Katibu mkuu wa Wizara ya ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Bw.Job Masami alitembelea mikoa ya Katavi na Rukwa kwa
ajili ya kutembelea na kukagua maendeleo ya shughuli ya uhamishaji wa shehena ya mahindi kutoka mjini Sumbawanga
mkoani Rukwa na kupelekwa mjini Mpanda mkoani Katavi, shughuli inayofanywa na malori yanayomilikiwa na Jeshi la
Wananchi wa Tanzania JWTZ.
Alielezwa kuwa hadi sasa zaidi ya tani 11,600 za mahindi zimeshahamishwa kutoka Sumbawanga kwenda Mpanda kwa ajili
ya kusafirishwa kupelekwa kwenye Kituo cha Wakala wa Hifadhi ya Chakula ya Taifa NFRA cha mkoani Shinyanga, na kwamba
ni jumla ya tani 20,000 za mahindi ndizo zinazotakiwa kuhamishwa kutoka Sumbawanga kwenda Shinyanga kwa ajili ya kukabiliana
na suala zima la njaa kwenye maeneo hayo ya kanda ya ziwa.
Alipata fursa vile vile kuongea na makamanda wa Jeshi hilo la ulinzi zmbalo lina malori 65 hadi sasa mkoani Rukwa na Katavi
yanayohamisha mahindi hayo, na kwamba wana mpango wa kuongeza malori mengine 50 ili kuharakisha uhamishaji wa
shehena hiyo ya mahindi, wakilenga kuukimbia msimu wa mvua unaokaribia kuanza, kwani mara kwa mara mvua zinachangia
kuharibu miundo mbinu.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
Acha kuweka pesa zako VIKOBA weka MKOMBOZI BENKI AU AMANA.
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha.
aRUSHA KUWA JIJI. mBEYA KUFUNGULIWA KIWANDA CHA bia . Kila Mkoa kuwa na uwanja wa ndege.
Nchi nzima barabara kuu zina LAMI
10. mabenk zamani bhana, ulikuwa ukiweka hela mara moja halafu ukikaa kama mwaka bila kuweka tena ukienda unakuta hela yako imeongezeka. ila kwa sasa ni tofauti ukiweka hela, ukizubaa utakuta imeliwa yote imeisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.