CCM yafuata nyayo za CHADEMA, CUF

CCM yafuata nyayo za CHADEMA, CUF

CCM ni majambazi. Nikisikia neno CCM napata kichefuchefu na kuona kinyaaa. CCM imepoteza uhalali wa kutawala Tanzania. CCM imeshindwa na imefeli kuleta maendeleo kwa watanzania, bali kimefanikiwa kuzalisha mafisadi na kuwatunza. CCM si chama cha watanzania halisi bali ni chama cha wahuni.

ALOQUOTE MANENO YA UYU MWIGULU KICHWA MAJI HAJAMALIZIA YOTE, PIA KASEMA MAMBO MENGINE WANAMUACHIA MUNGU, IVI HAWA CCM WASHIRIKINA WAKUBWA NA MUNGU NI WAPI NA WAPi?
 
ccm ni majambazi. Nikisikia neno ccm napata kichefuchefu na kuona kinyaaa. Ccm imepoteza uhalali wa kutawala tanzania. Ccm imeshindwa na imefeli kuleta maendeleo kwa watanzania, bali kimefanikiwa kuzalisha mafisadi na kuwatunza. Ccm si chama cha watanzania halisi bali ni chama cha wahuni.

  1. treni za jiji
  2. barabara za expres( mabasi ya mwendo kasi
  3. kurudia mikataba ya madini
  4. bararbra mikoani
  5. matrekita kila kijiji
  6. tunajitoshereza kwa chakula , atujaagiza chakula kutoka nje
  7. tunalinda amami nchi nyingi
  8. tumeshinda vita nzuani n.k
 
CCM ni majambazi. Nikisikia neno CCM napata kichefuchefu na kuona kinyaaa. CCM imepoteza uhalali wa kutawala Tanzania. CCM imeshindwa na imefeli kuleta maendeleo kwa watanzania, bali kimefanikiwa kuzalisha mafisadi na kuwatunza. CCM si chama cha watanzania halisi bali ni chama cha wahuni.

  1. treni za jiji
  2. barabara za expres( mabasi ya mwendo kasi
  3. kurudia mikataba ya madini
  4. bararbra mikoani
  5. matrekita kila kijiji
  6. tunajitoshereza kwa chakula , atujaagiza chakula kutoka nje
  7. tunalinda amami nchi nyingi
  8. tumeshinda vita nzuani
  9. TUNAVYUO VIKUU 45
  10. TUNA MABENKI 60 N.K
 
hapa kwetu walituahidi maji na makompyuta kwenye kura za maoni bila shaka huu ni mwk wa nne hamna lolote. halafu wanasema wtatumia nguvu ya mungu huo ni uongo waseme watatumia nguvu ya mabilioni ya Uswis pumbv.....

CCM wamejoshika pabaya wenyewe, mwaka 2013 lazma wauone mchungu
 
  1. treni za jiji
  2. barabara za expres( mabasi ya mwendo kasi
  3. kurudia mikataba ya madini
  4. bararbra mikoani
  5. matrekita kila kijiji
  6. tunajitoshereza kwa chakula , atujaagiza chakula kutoka nje
  7. tunalinda amami nchi nyingi
  8. tumeshinda vita nzuani n.k
Ila kwa kusema uwongo na kusahau hamjambo! wale wamasai wanaokufa kwa njaa kule Ngorongoro sio watanzania?
 
Nani alifumaniwa na mke wa gamba mwenzake? Nikumbusheni wana jamvi,ktk watu nawadharau kwenye hii dunia ni mwigulu,lusinde na nape
 
Ila kwa kusema uwongo na kusahau hamjambo! wale wamasai wanaokufa kwa njaa kule Ngorongoro sio watanzania?

GHALA LA TAIFA LIMESHEHENI TEMEKE KUNA GHALA SHINYANGA; JE NI REPORT YA WANAKIJIJI AU SERIKALI YA KIJIJI?

VYAKULA VINGINE VIMEHAMISHWA NA JWTZ . Hupo bongo hii au umebaki kuwa Pro
 
GHALA LA TAIFA LIMESHEHENI TEMEKE KUNA GHALA SHINYANGA; JE NI REPORT YA WANAKIJIJI AU SERIKALI YA KIJIJI?

VYAKULA VINGINE VIMEHAMISHWA NA JWTZ . Hupo bongo hii au umebaki kuwa Pro
Ukiwa kwenye "key board" ukiandika propaganda za boss wako Nape hakuna anayekuweza, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa wamasai huko Ngorongoro wanakufs kwa njaa.
 
ukiwa kwenye "key board" ukiandika propaganda za boss wako nape hakuna anayekuweza, lakini ukweli unabaki pale pale kuwa wamasai huko ngorongoro wanakufs kwa njaa.

serikali ilishawambia wahame ngorongor ni hifadhi , na wapunguze mifugo , anayelalamika ana ng'ombe 200.
 
Nani alifumaniwa na mke wa
gamba mwenzake? Nikumbusheni wana jamvi,ktk watu nawadharau kwenye hii
dunia ni mwigulu,lusinde na nape

Alikuwa huyu huyu chemba, anapenda kuwavua chup wanawake za makada wenzake, kuna siku atapiga hodi kwa ritz....
 
Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuutangaza mwaka 2013 kama mwaka wa kazi kupitia falsafa ya nguvu ya umma na Movement For Change (M4C), Chama Cha Mapinduzi CCM nacho kimeibuka na kuutangaza mwaka huo kwamba utakuwa wa kazi kwao huku kikisema chenyewe kitatumia falsafa ya “Nguvu ya Mungu”.

..... CCM kwa kutumia nguvu ya Mungu,” alisema.

Chanzo: Nipashe leo
Albino watazidi kuuawa.....pm ataishia kulia....wauaji hawatakamatwa....wakikamatwa upelelezi hautakamilika.

Masangoma na wapunga pepo na waita mizimu watanufaika mno mwakani kupitia CCM na serikali yake! MASIKINI ALBINO,maisha yao yatakuwaje chini ya mwendo huu wa CCM (waabudu mizimu, watambikaji kwa ajili ya mwenge kila mwaka.
 
alikuwa huyu huyu chemba, anapenda kuwavua chup wanawake za makada wenzake, kuna siku atapiga hodi kwa ritz....

zee zima kwa wake za watu noma , atakunanilia chezea mbwa atakufuata.............
 
  1. treni za jiji
  2. barabara za expres( mabasi ya mwendo kasi
  3. kurudia mikataba ya madini
  4. bararbra mikoani
  5. matrekita kila kijiji
  6. tunajitoshereza kwa chakula , atujaagiza chakula kutoka nje
  7. tunalinda amami nchi nyingi
  8. tumeshinda vita nzuani n.k

punguza nadharia zisizotekelezeka,barabara ya mwendo kasi ni mtandao wa mabarabara vijijini?treni dar za mwakyembe, je,treni za reli ya kati inafanya kazi ipasavyo kwa kubeba, abiria wengi na mizigo mingi?trekta mpaka vijijini, bei ya kulimiwa kwa ekari moja bei gani ukiliganisha na pato la mwaka la mkulima wa kawaida ?na kama tungejitosheleza kwa chakula , kwann wanazuoni wauchumi kila mara wamekuwa wakitaja chanzo cha mfumko wa bei ni upungufu wa chakula.na hiyo amani bila haki ipo wapi?
 
anayeweza huwa habadirishwi kwa sababu ya kulindana ndio maana kabadilishwa huyu nchemba namfahamu hanma kitu hapo. wanajiandaa kwenda kuzomewa maana wapibeep mtwala na lindi wakakimbia bila nguo.

wameona mikutano ndio njia ya kupata posho. HAWA JOTI ANAWAITA COPY AND PAST.wanachotaka kukianza ni creativity za chadema. wao akili wamepeleka likizo wanachukua vya chadema
 
shetani ameamua kuwahadaa wanafiki hawa,eti ccm wanaona wanaweza kuwadanganya tena WATANZANIA,hakika amedhamiria kuwaangamiza watoto wake(ccm).poleni sana.
 
Back
Top Bottom