Wakazi wa Morogoro wanatia aibu sana, ujinga wao wa kuing'ang'ania CCM umewafanya hadi leo maendeleo hawana.
Nakumbuka nilienda Morogoro kwa mara ya kwanza mwaka 2009 nilishangaa sana kukuta stendi kuu ya mabasi ni vumbi tupu!
Sasa hivi ndio wamejitahidi lakini bado sana kwakweli.
Morogoro ni jina kubwa sana tofauti na hadhi ya mji huo ilivyo.
Badilikeni.
Mr Chin ccm wanajichapia mpaka wamekupa mimba
[h=3]PICHA UZINDUZI WA KAMPENI JIMBO LA MOROGORO MJINI[/h]Wakazi wa Morogoro wanatia aibu sana, ujinga wao wa kuing'ang'ania CCM umewafanya hadi leo maendeleo hawana.
Nakumbuka nilienda Morogoro kwa mara ya kwanza mwaka 2009 nilishangaa sana kukuta stendi kuu ya mabasi ni vumbi tupu!
Sasa hivi ndio wamejitahidi lakini bado sana kwakweli.
Morogoro ni jina kubwa sana tofauti na hadhi ya mji huo ilivyo.
Badilikeni.
Mkuu kuna mtu wa Morogoro huwa nashindana nae kila siku na kumueleza kuhusu hilo lakini anabisha sana.Hakuna watu wasioelewa kama wana morogoro..hawaoni wezao wa Dar..walivyoonyesha mfano na Tz nzima inazizima kwa nyomi ya ufunguzi ule!..waluguru mnatuaibisha..mnakuwa kama Dodoma kwa wagogo..nyumba za tembe bado wanaikumbatia ccm..jamani muda wa kumtoa mkoloni mweusi ni mwaka huu tukishindwa ndo basi tena tutakuwa tumeisaliti generation nzima..watoto na wajukuu zetu watatupiga laana!