sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Chama Cha Mapinduzi kimebaini mchezo mchafu jijini Arusha, wa kuandikishwa wapiga kura zaidi ya 6,000 wenye umri chini ya miaka 18.
Huu mchezo sijui ni wa NEC? Na hili linaweza likawa lina ukweli maana kuna habari niliikuta huku inayosema kipindi cha kupiga kura kilipofika, wapo wanafunzi hadi wa kidato cha kwanza walikuwa na vitambulisho vya kupiga kura walikuwa wanaomba ruhusa kwa walezi wao kwenda kupiga kura na walimu wao waliwabaini kutokana na taarifa zao za kujisajili huko shuleni.
Chanzo cha habari ni gazeti la Uhuru.