CCM yabaini mchezo mchafu Arusha mjini

CCM yabaini mchezo mchafu Arusha mjini

Ni kama znz vile, kima jecha & lubuva, wanataka kukataa kura za ubunge wakati za urais walizikubari na kuwapongeza wana arusha!
 
Hahahaahahah labda waliwasajili wakazani watapgia wakwao wameanzaona hawako upande wao wameamua kuchoma utambi...
 
Heeee.. Mi naona hapa uzi unaanzishwa na C.D.M unachangiwa na CDM . progaganda za kisasa hizi.
Hii habar si ya kweli hata kidogo.
 
Hivi gazeti la uhuru bado lipoga! Mie nilikuwa nasoma vikatuni vya Polo na Chakubanga tu
 
Chama Cha Mapinduzi kimebaini mchezo mchafu jijini Arusha, wa kuandikishwa wapiga kura zaidi ya 6,000 wenye umri chini ya miaka 18.

Huu mchezo sijui ni wa NEC? Na hili linaweza likawa lina ukweli maana kuna habari niliikuta huku inayosema kipindi cha kupiga kura kilipofika, wapo wanafunzi hadi wa kidato cha kwanza walikuwa na vitambulisho vya kupiga kura walikuwa wanaomba ruhusa kwa walezi wao kwenda kupiga kura na walimu wao waliwabaini kutokana na taarifa zao za kujisajili huko shuleni.

Chanzo cha habari ni gazeti la Uhuru.

Duh hicho chanzo cha habari!!
 
Back
Top Bottom