CCM yaahidi neema wananchi wa Ukonga

CCM yaahidi neema wananchi wa Ukonga

UNIPE POLE YA NINI TENA MGONJWA USIEJITAMBUA, POLE NIKUPE WEWE ULIE DANDIA CCM JUU KWA JUU BILA KUJUA MISINGI YA CHAMA HICHI. UZURI ULIOPO HATA WAPINZANI WOTE NI CCM CHIMBUKO LAKE, LAMWAI, MREMA..... BUT KADA KAMA NINYI MNAO TUMIA CHAMA KWA MASLAHI YENU NDO TATIZO.MUDA UMEFIKA MAGU ANAWAFUKUA.
Huna haja ya kupiga makelele.
 
Huna haja ya kupiga makelele.

MKUU KAISHA SEMA, HATA KATIBU MKUU KAANZA KUELEWA MSIMAMO WA CCM, NENO WANANCHI WANGU, MKOA WANGU SEREKALI YANGU HAYA YOTE YAISHE,, TUANZE KUIJENGA NCHI KWA KKUSEMA NENO KAMA WENZANGU, YETU, WETU...PIA KUACHA KUJIFICHA KWENYE UKADA HUKU TUKIIFILISI NCHI
 
Huna haja ya kupiga makelele.
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma.

Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi Dar es Salaam na kiwanja Na.’2’ block ‘A’kilichopo Korogwe mjini.

Mali nyingine ni shamba Na.201 liliolopo kijiji cha Igate Mkoani Geita, kiwanja Na. 116 block A Buswelu Kaskazini na kiwanja Na. 48 block T katikati ya jiji la Mwanza.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, William Kalage amesema ni kweli mali hizo zinapigwa mnada.
“Ni kweli tumetoa tangazo na sisi ndiyo tumeipa kazi hiyo kampuni ya udalali kupiga mnada mali hizo,” amesema
Mbali na Musukuma, kampuni ya LJ International Ltd pia imetangaza watu 19 wanaodaiwa na benki hiyo ambao mali zao zitanadiwa.

Hata hivyo Musukuma hakupatikana kwa njia ya simu kuzungumzia suala hilo. Hivi karibuni mwanasiasa huyo amekuwa akimpigia kampeni mgombea ubunge wa jimbo la Monduli kwa tiketi ya CCM, Julius Kalanga.

SIGNATURE
 
Sina muda kusoma insha.
 
Huu ni mwendelezo wa siasa za ghiliba, hasa pale waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi alipokwenda Pugu na kutangaza kurasimisha eneo la mwekezaji walilolivamia zaidi ya miaka minane iliyopita.

Suala la kujiuliza hapa ni kwanini waziri alifanye sasa ilihali akijua kunafanyika kampeni za uchaguzi wa mbunge.

Hii inajidhihirisha wazi kuwa ni kumfanyia kampeni za siri mgombea wa ccm.
 
Back
Top Bottom