Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
Mwaka 2005 ndio ulikuwa mwaka wangu wakaza kupiga kura.
Na huo mwaka ndio ulikuwa mwaka wangu wa kwanza kuchukua kadi ya uanachama wa Chadema.
Kuanzia hapo nilifarijika sana kuwaona wazazi wangu wakiachana na chama cha ambacho niliamini ni chama cha kishetani.
nilichukia sana kuwaona wazee wangu wakifanya kazi za ccm. mama akiwa mjumbe wa ccm na baba ni mwenyekiti wa kitongoji kupitia ccm.
nilichukia sana kuwaona wanapoteza mda wao wa kufanya kazi za kimaendeo ya familia kuwa sababu wamenda kufanya kazi katika chama cha kishetani.
kwa kweli liwashauri sana lakini hawakunielewa hatimaye nikawa najiuliza hivi wazazi wangu Mungu aliwakosea kuwaumba?? na akakosea kuwawekea ubongo na akawekea mikojo kichwani.
Niliwachukia sana watu hasa wakinamama kuhandaliwa kuwa kupewa chumvi, kanga, viberiti, na kofia za chama cha kishetani.
Nilichukia sana wakinamama kwani walipewa vitu hivyo kuwa masharti ya kutunga nyimbo na kuimba siku anayokuja mugombea wa chama ambacho niliamini kuwa ni cha shetani kabsa.
Hata hivyo familia na mzee wangu na watu wangine walikuja kinielewa katika mchakato wa katiba mpya.
mzee alikubali kuachana na ccm na kujiunga na chama ambacho niliamini kuwa ni cha ukombozi (Chadema)
Alijiunga na Chadema na akachanguliwa tena kuwa mwenyekiti wa kitongoji kupitia Chadema . kuwa hivyo nikawa nimeleta mabandiliko makubwa pale kijijini.
Kutokana na mambo yaliyotokea mwaka huu chama changu hiki ambacho kilinijenga kuwachukia vingozi majinzi kama tibaijuka. lowassa kinguge sumaye na wengine eti kinafurahi kuwachukua watu hao ili watuongoze tena pamoja na uzee wao.
kwa kitendo hicho hakika ccm naiona kama Chadema ya zamani.
kwa sasa Chadema siipendi kama lowassa na majinzi wezake wakina kikwete