Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,648
Jamani ccm wametumaliza. Wamedhulmu, wameiba na sasa "wamepumzisha" roho za watu hususan wapenda haki.
Ccm ya sasa hivi imewatukana waasisi wa taifa hili.
Ccm mmemtukana Nyerere mmemtukana butiku mme mtukana warioba ni nani hamjatukana?
Leo hii mnachaguana kupitia kura za maoni kupitisha wagombea vitongoji ndani ya ligenge lenu la kupgia deal-ccm .
Chaguaneni mje mkutane na chadema